Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Apewe makonda ili ashughulike na wabunge wazembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi
Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
Nawasilisha
Kwani pole pole ni msukuma, mawazo yako yamejaa ukabila tu, unafikiri ni Kama ile Saccos yenu ya kazikazini.Hivi ni lazima kiongozi wa ccm awe Msukuma ?
Kwani pole pole ni msukuma, mawazo yako yamejaa ukabila tu, unafikiri ni Kama ile Saccos yenu ya kazikazini.
Hata Polepole hakuwa anakijua chama kiundani wakati anapewa uongozi.Huyo wa juzi hakijui chama bado ,hawez pewa hiyo nafasi.
Babako alivyosikia Lissu anasindikizwa Airport na ubalozi wa Ujerumani saa yake ilizima ghaflaNasikia shemeji yako alitemeshwa ubunge nyote mkaugua!
nilisha tabiri pole pole hajaitendea haki nafasi hii. Na . Ukimlinganisha na nape . Angalau bashiri kutolewa wala sishangaiDr. Hassan Abbas, Dr. Kijazi(wa Tanapa na naibu katibu mkuu maliasili) wana kofia moja.
Tumetelekeza na tunasonga mbereeeeee.
CCM oyeeeeeeee
Umeshamharibia Makonda! Bwana yule alishasema kabisa hapangiwi na kwa kuwa umeshamtaja Makonda, ndio umemharibia kabisa, hapewi ng'oooo!!Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi
Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
Nawasilisha