Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Makonda hafai, atasababisha CCM ichukiwe kwa majivuno yake
 
Hii nafasi ya ukatibu muenezi anarudishiwa nape
 
Hakuna cha ajabu kwani zama hizi "wajinga" ndiyo wanapewa shavu.Wenye akili za kutafakari,kuhoji na kujitambua ni adui kwa mamlaka ya uteuzi!
 
Umewaza mbali Sana mkuu[emoji16][emoji16]kweli unamjua JIWE VIZURI
 
Mmeanza. Pale atawekwa msomi. Huyu Makonda hawezi wekwa hapo.
 
Hivi ni lazima kiongozi wa ccm awe Msukuma ?
 
Habari ya wakti huu!!

Sasa njia ni nyeupe kwa Ndugu yetu Bwana Paul kuipata nafasi ya uenezi ndani ya CCM . Yeye ndo anaweza propaganda vizuri . Ni suala la mda na ukizingatia huyu mtoto pendwa wa Mzee hana kazi kwa sasa .


Viva Makonda ,Viva Jiwe.
 
Jamani inamaana Pierre Li Sun li bitter hamumuoni?
Pole yako Lijialikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…