The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa kuonyesha tabia nzuri za kiislam duniani. Aliyeshinda si Janaba bali SSH.Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo zilimpongeza je huu ni udini? Au waislamu wako proud baada ya ushindi wa janabi? Je ile tafasiri ya watu wa dini nyingine ya kusema waislamu hawataki elimu dunia naona imewaishia na je watu wa dini nyingine wamechukia baada ya ushindi wa Dr janabi?
Acha hizo wewe aliyetuumba unamjua au mbwembwe za ki Quraish,Wewe andika utakavyo andika, lakini huo ukweli hauwezi kubadilika. Sababu hili hata aliyewaumba na anaye wajua vizuri amelisema hili.
Nukta.
Prof Janabi ni mtanzania.Mimi ni mkristu na najisikia fahari kubwa kwa yeye kuaminiwa na kupigiwa kura za kutosha.Ukisoma majukumu yake mapya,hutaona kama dini yake iwe mjadala.Mambo mengine na Sisi wakristo tuwe tunakaa kimya... Professor Janabi kupongezwa na waislam wenzie ni Jambo la kawaida Tu...
Nadhani hapa unakusudia wenye imani tofauti na Dr Janabi ?? Mna roho mbaya mnoo kwanini hafurahii waislamu walkipendana ??wanafiq
Kwahiyo mnataka kuwapangia watu hisia zao?Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo zilimpongeza je huu ni udini? Au waislamu wako proud baada ya ushindi wa janabi? Je ile tafasiri ya watu wa dini nyingine ya kusema waislamu hawataki elimu dunia naona imewaishia na je watu wa dini nyingine wamechukia baada ya ushindi wa Dr janabi?
Kuna watu wamepita, si kwamba walikuwa na chuki tu na Waislamu kama wewe, Bali walikuwa na akili kabisaaa lakini walishindwa. Umeshashindwa kabla hujaanza.Wewe jua tuu! Katika wajinga waliopo duniani basi kundi kubwa ni waislam , ni wadini na wabinafsi sana
mbona alipopata mkristu hawakupongeza! hivi umeanza kuona wimbi la.matamko ya kuhusu Rais muislamu kuanza kuwa mengi?Nadhani hapa unakusudia wenye imani tofauti na Dr Janabi ?? Mna roho mbaya mnoo kwanini hafurahii waislamu walkipendana ??
We una virus wa udini, unapataje muda wa kufuatilia petty issues km hizo? Mtu km hajakupongeza unamlaumu? Usilazimishe hisia za watu, fanya mambo yako songa mbele. Muhimu km Taifa litafaidika inatosha.Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo zilimpongeza je huu ni udini? Au waislamu wako proud baada ya ushindi wa janabi? Je ile tafasiri ya watu wa dini nyingine ya kusema waislamu hawataki elimu dunia naona imewaishia na je watu wa dini nyingine wamechukia baada ya ushindi wa Dr janabi?
Huo ukristo ulionao ulienda kuununua wapi, una akili ndogo sanaWewe jua tuu! Katika wajinga waliopo duniani basi kundi kubwa ni waislam , ni wadini na wabinafsi sana
Mimi siyo muislsmu lakini naweza kuwapita Waislamu wengi tu tukifuata dini.Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo zilimpongeza je huu ni udini? Au waislamu wako proud baada ya ushindi wa janabi? Je ile tafasiri ya watu wa dini nyingine ya kusema waislamu hawataki elimu dunia naona imewaishia na je watu wa dini nyingine wamechukia baada ya ushindi wa Dr janabi?
anachosema si kunufaika ila wao wanasema ninyi wakristo mlikuwa mnawasema waislamu hawaitaki kusoma elimu dunia je janabi ile ni elimu gani?hawatanufaika chochote mambo ya uisilamu wapi na wapi?
..non senseTanzania ni nchi ya kidini kristo na islamu kwa sasa utasikia zamu ya mwislamu au kwa sasa zamu ya kristo
Udini na Mpira wa Simba na Yanga ndio mijadala mikubwa. Baada ya hapo mitano tena, mama anaupiga mwingi. Full stopTuna safari ndefu sana kama nchi,ikiwa wananchi kutwa kucha wanaangalia mambo kwa mlengo wa dini
Ndio mambo tunayo yaweza hayo,ni aibu sanaUdini na Mpira wa Simba na Yanga ndio mijadala mikubwa. Baada ya hapo mitano tena, mama anaupiga mwingi. Full stop
Nani awe na Chuki na mbumbumbu wa Mecca acheni kujistukia hakuna mkristo serious anawachukia Waislamu ila asilimia kubwa hua naona Wakristo wakiwahurumia Waislamu Maana kundi kubwa la Dini yenu ni ngumbaru first class,
Hiyo Chuki kwa mkristo imeanza lini kama Sio nyie wazee wa kujilipua na jazba za kijuha Ndio sera yenu?
Maghayo
πππ