Baada ya Kauli ya Rais Samia, Waliomtukana Dkt. Bashiru wamuombe radhi

Kiuhalisia mimi sijaona chochote cha ziada alichokifanya huyu bibi tokea awe Rais kinachopelekea baadhi ya wapumbavu kusema; eti, "anaupiga mwingi".

Ukweli ni kwamba huyu bibi ni Rais dhaifu kabisa kuwahi kutokea katika taifa hili.
 
Lakini kiukweli si Rais Anaupiga mwingi kweli au?
 
Kiuhalisia mimi sijaona chochote cha ziada alichokifanya huyu bibi tokea awe Rais kinachopelekea baadhi ya wapumbavu kusema; eti, "anaupiga mwingi".

Ukweli ni kwamba huyu bibi ni Rais dhaifu kabisa kuwahi kutokea katika taifa hili.
Nadhani wewe ndio mpumbavu,una hakika Hakuna alichofanya?
 
Walizidi kusifu na kuabudu ila yeye mama kawashtukia na sifa zao za kinafiki wamekatishwa tamaa sijui itakuwaje.
 
Walikuwepo chawa wengi tu, hata Fatma Karume nae ujumbe umemfikie popote alipo.

Rais anastahili. kupongezwa kwa kugoma kufuata mkumbo wa wajinga wengi.
 
Wapi Lucas Mwashambwa?????
 
Serikali yake inafanya majukumu ya kiserikali ya kawaida, sasa ukisema Samia anaupiga mwingi ndio hapo wengine wanajiuliza kipo cha ziada anachofanya Samia chenye kufanya mseme anaupiga mwingi?
Usibishane na hawa watu! Make utadhani Kuna serikali mbili ziko madarakani au kuna nchi mbili zinashindana! Hawa sio watu Ni mediocre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…