Sijui niseme akili yako fupi!!
au huna kabisa
 

Hoja yako ni ipi? Ina maana wanawake ndio wanaiheshimisha Tanzania? Kivipi?

Yaani sikuelewiiii
 
Japokuwa Mimi ni mwanaume mwenye maumbile ya kiume naunga mkono hoja Mh.rais SSH abandike makamu mwanamke pale, wanaume watamchelewesha hasa Vita ya urais 2025

Ninachojua mimi utendaji wa kiongozi na jinsia yake ni vitu viwili tofauti kabisa

Watanzania sisi tunahitaji viongozi watekelezaji bila kujali jinsia zao

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na watendaji wake wote🇹🇿🙏
 
Rais mwanamke, makamo awe mwanamke, maboadguard wanawake.

Siku wakiamua ni mabaibui na madera tu, na usiombe wayachomeke kwenge boixer.
Hahshahahahahahahahahahah.. ..
 
Kama hutaki Makamu wa Rais mwanaume, basi umshauri pia atunge sheria ya kuwaondoa wanaume wote nchini! Ili Tanzania iwe ni Nchi ya Wanawake tu. 🙄

Ikifikia hapo, tutawaachia Nchi yenu! Na mimi nitahamia Rwandaaa!! kwa ajili tu ya kujimilikisha namba 8 wa kutosha, au Ugandaaa! Huko nasikia namba 6 ndiyo zimetawala. Huku Bongo naona zile sampuli za akina cutelove wa elfu 7800 ndiyo zimejaa. 😇
 
Kuna vita itaanza kufuka chini kwa chini tena itakua ni hatari kwa taifa.
 
taratibu za nchi ni kuwa makamo wa nchi lazima atokee kwenye chama tawala.
chama ndio kitampa majina.
sijui chagua sekta binafs.. sijui nn.. hmna hiyo.
Acha kupotosha.

Atashauriana na Chama Chake... anaweza kuwa na jina lake akalipendekeza kikaoni.

Rais au mgombea halazimishwi kuchukua yeyote kwa kuwa makamo wake.

Alichokiongea juzi Jakaya ni pure uongo kwa sababu ana mpango wake anaupambania
 
Naamini kuna watu Wengi sana Wanaweza kuwa Viongozi nchi hii lakini nafasi hawapati...Hivi kweli Mizengo tena awe VP why?? Kwanza Mizengo amezeeka yaani hakuna au nchi haiandai watu kabisa kila siku ni wale wale..

TATIZO WANAOKUA NA nafasi huzitumia kupiga nyundo vijana wasiinuke hata kidogo..Kuna wazee wana roho mbaya sana na wamezeka..Wanatunga uongo kila uchao..
 
Acha kupotosha.

Atashauriana na Chama Chake... anaweza kuwa na jina lake akalipendekeza kikaoni.

Rais au mgombea halazimishwi kuchukua yeyote kwa kuwa makamo wake.

Alichokiongea juzi Jakaya ni pure uongo kwa sababu ana mpango wake anaupambania
man i dont care about jakaya. oh his issues.. atajua mwenyewe na mambo yake.
unafikiri in your right mind mama atachagua mtu nje ya ccm? utangoja sana.
ndio utaratib na makamo wa rais atatokea ccm.
si mtu nje ya system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…