ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sijui niseme akili yako fupi!!Mama yetu tunakusihi, umpendekeze mwanamke atakayekusaidia katika kazi za Urais. Kufanya hivyo utaiheshimisha Tanzania na pia utaepuka makundi ya wanamtandao.Chukua toka seta binafsi ili upate msaidizi mtendaji asiye mwanasiasa. Tunahitaji kumaliza miradi ya kimkakati mapema na kuanzisha mpya. Hawa wanasiasa ukiwateua watendeleza siasa za kutafuta Urais 2030 na watatuchelewesha Tunakuamini mama yetu
au huna kabisa