Watz mln 50 umewaona hapa?January kalifanyia nini taifa letu kama siyo usanii tu. Watanzania mbona tunakuwa wajinga hivi? Tanzania imejaa watu wengi wenye akili na vision wewe unasema huyo msanii? Huyo na Makonda au Gwajima wana tofauti gani?
Mwingulu haifai hata Unaibu waziri. Bora apewe Membe kuliko Mwingulu japo Membe watasema alishafukuzwa.Hata mimi simkubali Mwigulu Nchemba.
Mwigulu ana siasa fulani za kihuni-huni..
Aaa we! Hapo juu ni kuwe na dini nyingine[emoji1241]Umewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
Nchimbi ni lazima.Nchimbi big no.Tony sawa anafaa.
Si tulishakubaliana kuwa kwenye teuzi hatuteui Imamu au Padri?.Aaa we! Hapo juu ni kuwe na dini nyingine[emoji1241]
Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba (Mazishi) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
At least mkuu wewe umewaza sawa na mimi wengine wanapapalika tu kuniquote wakiishia kwa hao top 2 mara sijui kikwete nini wakisahau kwa Kikwete waziri mkuu alikuwepo Lowasa na baadaye Pinda, ila hata ikitokea changes kwa Pm bado hilo litazingatiwaHapo una-assume Majaliwa anabaki kuwa Waziri Mkuu? utashangazwa
Balozi Mahiga alifariki tar 1 May 2020, kesho yake tar 2 May Rais akamteua Nchemba kuziba hiyo nafasi (kabla hata ya mazishi).
Naamini huko Magufuli aliko, angependa tumuenzi kwa kuziba nafasi hizo haraka sana tena kabla ya mazishi.
Pigia mstari.. " Hatuko tayari kurudia makosa" .. awekwe kwenye mizani kama anafaa ama hafai.Kwa sababu ni mngoni mwenzako? Hatuko tayari kurudia makosa. Taja sifa zake hapa. Kinyume na hapo, mshauri abakie huko huko! Hatutaki kabisa watu wanafiki nawachumia tumbo safari hii.
Mwigulu alishakosa sifa za kuwa kiongoziMwingulu haifai hata Unaibu waziri. Bora apewe Membe kuliko Mwingulu japo Membe watasema alishafukuzwa.
Mwigulu hapana, hana busara
Wewe sio mtoa roho za watu! Kwani ni lazima Makamu wa Raisi awe mwanaume! Mhe. Samia ana uwezo wa kumpendekeza Makamu wa Raisi mwanamke na kwangu huu utakuwa uamuzi sahihi sana. Nchi hii ina wanawake shupavu na wenye mawazo ya kitaifa zaidi kuliko vyama vyetu. Tuna akina:Believe me nikikuambia Mama Samia hatoongoza taifa zaidi ya mwaka lazima aapishwe mwanaume pale ikulu
Hiyo ni juu yake na anaweza kubadilisha woote.Kwani akiapishwa Mama Samia anaanza uteuzi upya wa baraza la mawaziri?