Mtaka sasa umezidi kujipigia debe yaani umefikia kujipigia debe kuwa makamu wa Rais. Huu umakamu umekuwa mrahisi hivyo kwa cv yako ya Dc Hai kisha RC simiyu na hujapitia hata kwenye chama zaidi ya ujumbe wa baraza tu.
Kwani JPM alikuwa nani kwenye chama kabla ya kuwa rais?
 
Ingawa nae anasemwa kwa upigaji kwenye chama cha Riadha alikokuwa Mwenyekiti wa Taifa kabla ya kupoteza uchaguzi uliopita.
Hivi Riadha ina pesa gani mkuu? Kupiga ni tabia ya mtu. Japo siyo kwamba hapigi. Ila cheo cha Mkuu wa Mkoa ana uwezo wa kupiga dili zaidi ya Budget yote ya nchi ya Riadha. RC Makonda kupitia cheo cha RC amepiga vingii.
 
Ingekuwa enzi ya Kikwete mngepigwa mara nne ya hiyo!!! Mikataba ya Gesi na wachina umeiona? Mikataba ya kujenga bandari Bagamoyo umeisoma? Kikwete alikuwa anatia saini huku amefumba macho wenzie wanachukua nchi!!!
Una uhakika gani hawajatupiga mara 5 zaidi? Bei hatujui. Kila kitu wameficha. Unajua walitupiga Trillion 1.5 ndani ya miaka 4 tu? Uwanja wa CHATO ni upigaji LIVE. Nini kili mtoa CAG: Asad?
 
Wapi tibaijuka
 
Una uhakika gani hawajatupiga mara 5 zaidi? Bei hatujui. Kila kitu wameficha. Unajua walitupiga Trillion 1.5 ndani ya miaka 4 tu? Uwanja wa CHATO ni upigaji LIVE. Nini kili mtoa CAG: Asad?

Assad alitolewa kwa ufisadi wake na Dr. Dau pale NSSF! Ukitaka kujua kama tumeibiwa kwenye ununuzi wa ndege nenda kwenye WEBSITE ya BOEING!
 
Ni kweli. Unajua kifo cha Magufuli kinaweza kikaleta balaa kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…