🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Humphrey ni wa kanda ya Ziwa vile. Hakuna ubaya maana factors zote muhimu za kuwa makamu wa rais ana zo. Ni Mkristu, anaweza kufanya kazi kwa karibu na Madame President na pia anafahamu umuhimu wa Muungano na anaweza kuupigania.
 
Huyo mzee mwenyewe yuko next kwenye menu list ya corona
 
Wampe kama chapati?
 
Eti nasikia pinda
 
Ndo walewale itikadi zao hazimachi na zama hizi.Kabudi, mwigulu, bashiru wote ni madikteta watapambana na watu kuliko kupambana na maendeleo.Tunataka madikteta wa maendeleo na sio wa kuumiza watu.
 
Eti nasikia pinda

..kama ni Mizengo Pinda ni kwa ajili ya kuepuka mzigo wa gharama za kuwahudumia viongozi wakuu.

..lakini vilevile Pinda anajua masuala ya kiserikali kwasababu ametumikia Ikulu kwa muda mrefu sana.

..Pinda alifanya kazi Ikulu tangu utawala wa Mwalimu Nyerere na alikuja kuondoka na kuingia kwenye siasa wakati wa Raisi Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…