Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanajamvi naandika haya nikijielewa na akili timamu Ndugu Humphrey Polepole ndiye atakuwa vice president wa Tanzania.

Nimesogezewa hii habari nyeti na rafiki yangu yupo kitengoni sitamtaja (very very reliable sources) due to the sensitivity of the matter.

Na kama hatajaguliwa basi watakuwa wamesitisha uteuzi huo kwasababu imevuja.

Naombeni mniamini.
 
Humphrey ni wa kanda ya Ziwa vile. Hakuna ubaya maana factors zote muhimu za kuwa makamu wa rais ana zo. Ni Mkristu, anaweza kufanya kazi kwa karibu na Madame President na pia anafahamu umuhimu wa Muungano na anaweza kuupigania.
 
Huyo mzee mwenyewe yuko next kwenye menu list ya corona
 
Makamu wa Raisi nashauri tumpe huyu mzee ambaye hatakuwa pale kutaka kuwa Raisi bali kumsaidia Raisi. Pamoja na mapungufu yake ni mzalendo. Nitapata wasiwasi wakiweka watu wenye uchu wa kuwa Maraisi watakuwa wanafanya siasa zaidi kama ilivyo Kenya Rutto.
Wampe kama chapati?
 
Makamu wa Raisi nashauri tumpe huyu mzee ambaye hatakuwa pale kutaka kuwa Raisi bali kumsaidia Raisi. Pamoja na mapungufu yake ni mzalendo. Nitapata wasiwasi wakiweka watu wenye uchu wa kuwa Maraisi watakuwa wanafanya siasa zaidi kama ilivyo Kenya Rutto.
Eti nasikia pinda
 
Ndo walewale itikadi zao hazimachi na zama hizi.Kabudi, mwigulu, bashiru wote ni madikteta watapambana na watu kuliko kupambana na maendeleo.Tunataka madikteta wa maendeleo na sio wa kuumiza watu.
 
Eti nasikia pinda

..kama ni Mizengo Pinda ni kwa ajili ya kuepuka mzigo wa gharama za kuwahudumia viongozi wakuu.

..lakini vilevile Pinda anajua masuala ya kiserikali kwasababu ametumikia Ikulu kwa muda mrefu sana.

..Pinda alifanya kazi Ikulu tangu utawala wa Mwalimu Nyerere na alikuja kuondoka na kuingia kwenye siasa wakati wa Raisi Mkapa.
 
Back
Top Bottom