JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Napendekeza Palamagamba Kabudi afanywe Makamu wa Rais kwa sababu zifuatazo.
Kwanza Kabudi ana maono. Pili anajiamini kama JPM.Tatu elimu inakidhi viwango
Nne na mwisho utendaji kazi wake sina mashaka nao. Hakika atainyoosha nchi hii akiwa na mama jembe Kiboko ya Vidomodomo.
#hayana chama maendeleo!![emoji23]
Huyu kadaharauliwa mpaka na msukuma mtu aliyefika yarasa la nne!! Vitendo vyake vay sycophancy vimefanya wasomi wasiwe na heshima katika jamii!!kwenye elimu achana nako elimu ya kufanya research za sheria haikusaidii chochote kwenye uongozi! Hii ni kujidanganya tu kwa waliosoma😂. Lakini atafaa umakamu kwasababu ya uzalendo
Waziri mkuu alikuwa nani wewe umeangalia top 2 mimi nilidhamiria safu yoteKikwete plus dr shain badae bilali icho sio kigezo mzee
Dawa yenyewe iliishia wapi?
Mbona Kikwete na Mwinyi makamu wake wote walikuwa waislamu na wanaume hawakuwa jinsia tofautiHebu turudi kuleee enzi za kusoma hasi na chanya.
Hasi+hasi=?
Chanya+chanya=?
Hasi-chanya?=?
Sasa ipo hivi piga ua garagaza makamo wa raisi ni lazima atofautiane na raisi katika vigezo vifuatavyo.
1.Jinsi/jinsia
Hapo lazima awe wa kiume
2. Dini
Hapo lazima atofautiane Na samia. Ikiwa samia anaingia msikitini basi lazima makamu wake awe mtu wa kuingia kanisani na kinyumechake ndio ukweli wenyewe.
Sasa nimepitia mijadala mbalimbali naona ya kwamba January makamba anatajwa kushika nafasi hiyo hilo naomba asahau.
Kuna mtu anaitwa bashiru huyo nae asahau, vigezo hapo juu vinamtupilia mbali.
Majaliwa nae vilevile hata baada ya baraza kuvunjwa(ikitokea sio waziri mkuu) naye hawezi kuwa makamu.
Utaniuliza nimepekua katiba gani kuja na maelezo haya nami nitakujibu hakuna katiba niliyopekua na pengine hayo hayamo, ila uongozi wa kitanzania tangu anzi na enzi umeangukia ktk vigezo hapo juu.
Usiku mwema poleni niliowakera.
Nipo tayari kuja kuomba radhi endapo moja ya majina hapo juu yakipitishwa.
kwenye elimu na uweledi yuko vizuri.Napendekeza Palamagamba Kabudi afanywe Makamu wa Rais kwa sababu zifuatazo.
Kwanza Kabudi ana maono. Pili anajiamini kama JPM.Tatu elimu inakidhi viwango
Nne na mwisho utendaji kazi wake sina mashaka nao. Hakika atainyoosha nchi hii akiwa na mama jembe Kiboko ya Vidomodomo.
#hayana chama maendeleo!![emoji23]
Ahsante kwa fact hii tuendelee kuvuta subra. Jinsi awamu hii ilivyo naona kama mambo yamebadilika hivi.Mbona kikwete na mwinyi makamu wake wote walikuwa waislamu na wanaume hawakuwa jinsia tofauti
Ahsante kwa fact hii tuendelee kuvuta subra. Jinsi awamu hii ilivyo naona kama mambo yamebadilika hivi.Kikwete alikuwa Rais, Shein akawa Makam Rais