Nashauri wavute subira wazike kwanza kisha ndipo wafanye hilo zoezi wakiwa na utulivu sasa hivi wako kwenye majonzi na hekaheka kubwa !
 
Sio utaratibu lakini hisia zangu ni ili CCM itawale kwa amani lazima makamu atoke Roma la sivyo zitaandikwa nyaraka kila mwezi na hao ndio kitakuwa chama cha upinzani mafichoni. Manake hao jamaa wataendesha semina kila parokia "ona waislamu".
 
Shigela mbona namuona kama Afya mgogoro.?
Duh! Kwahilo sina la kusema ila kwa ufwatiliaji wa majukumu ni mzuri sana na milango ya ofisi yake ipo wazi na ukikwamishwa ukiripoti kwake unapata suliwisho mara moja na kwa uwazi mkubwa sana.

Mimi sio mkazi wa Tanga ila huwa na majukumu ya kazi hapo Tanga, nimepata usaidizi mkubwa sana wa kiserekali bila ya shida kabisaa na niko sekta binafsi.
 
Kweli wamekosa watu. Hata huyo mzeee wa madada POA yumo kwenye list? Looks like hakuna vetting siku hizi.
CCM wana hazina kubwa - kasoro unazotoa ni za kibinadamu ambazo kila utakayesema lzm ni dhaifu ktk upande fulani na bora sana ktk pande zingine.
 
Zamu ya madokta imekwishaaaa, sasa ni zamu ya walioelimikaaa
 
DK Slaa atatunyoosha mno kama alivyokuwa anatunyoosha Magufuli, huyu anafaa sana ila ccm sidhani kama wanaweza mpitisha, angefaa sana kumsaidia Mama Samia.
 
CCM wana hazina kubwa - kasoro unazotoa ni za kibinadamu ambazo kila utakayesema lzm ni dhaifu ktk upande fulani na bora sana ktk pande zingine.
Kabende Msakila Kuna udhaifu wa kibinadamu ambao unakubalika Kama kula nyama ya mbwa, kuingia chumvini lakini Kuna extremes ambazo haziiubaliki. Mfano kutembea na changudoa au kubaka mtoto mdogo ama kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
 
Nimemaliza maombi yangu leo asbh kuomba juu ya makamu wa Rais. Jina nililopewa ndio hilo Dr Wilbroad Slaa. Sasa ikiwa ateuliwa mwingine hainihusu lkn nilichokipata kwenye ulimwengu wa roho ndio hichi. Siku njema
Mimi kuna nyakati niliwaambia watu babu anaweza kuja kupewa nchi, kama wakimteua tu nitajua tayari.
 
Nimemaliza maombi yangu leo asbh kuomba juu ya makamu wa Rais. Jina nililopewa ndio hilo Dr Wilbroad Slaa. Sasa ikiwa ateuliwa mwingine hainihusu lkn nilichokipata kwenye ulimwengu wa roho ndio hichi. Siku njema
Mtumishi niko pamoja nawe, nimeona katika kutafuta mvuto na kuleta vitu tofauti, na mtu atakayewaweza mabazazi wa huko serikalini, naamini Slaa aweza kutufaa!

Ila kwa CCM walivyo utasikia Andrew Chenge kapita kwa kishindo! 😅

Everyday is Saturday................................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…