Mafisadi wanampigia upatu wa PM, Vijisent VP.Ila asiwe February tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafisadi wanampigia upatu wa PM, Vijisent VP.Ila asiwe February tu!
Jamaa keshasema mtu ambaye sio maarufu, kama alivyokua majaliwa 2015...Ila asiwe February tu!
Ila Rc wa Tanga ni nmchapa kazi kwakweliMungu tisaodie iwe hivyo.
Na asiwe tunda la mtandao kwa namna yoyote ile
Pia asiwe mpenda sifa awe mchapakazi kimya kimya.
Hivi rc s wa Tanga na wa Simiyu hawatajwi?
Duh! Kwahilo sina la kusema ila kwa ufwatiliaji wa majukumu ni mzuri sana na milango ya ofisi yake ipo wazi na ukikwamishwa ukiripoti kwake unapata suliwisho mara moja na kwa uwazi mkubwa sana.Shigela mbona namuona kama Afya mgogoro.?
CCM wana hazina kubwa - kasoro unazotoa ni za kibinadamu ambazo kila utakayesema lzm ni dhaifu ktk upande fulani na bora sana ktk pande zingine.Kweli wamekosa watu. Hata huyo mzeee wa madada POA yumo kwenye list? Looks like hakuna vetting siku hizi.
Zamu ya madokta imekwishaaaa, sasa ni zamu ya walioelimikaaaPoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
R.I.P Magufuli.
Kabende Msakila Kuna udhaifu wa kibinadamu ambao unakubalika Kama kula nyama ya mbwa, kuingia chumvini lakini Kuna extremes ambazo haziiubaliki. Mfano kutembea na changudoa au kubaka mtoto mdogo ama kufanya mapenzi kinyume na maumbile.CCM wana hazina kubwa - kasoro unazotoa ni za kibinadamu ambazo kila utakayesema lzm ni dhaifu ktk upande fulani na bora sana ktk pande zingine.
Hana utulivu huyuuu.DK Slaa atatunyoosha mno kama alivyokuwa anatunyoosha Magufuli, huyu anafaa sana ila ccm sidhani kama wanaweza mpitisha, angefaa sana kumsaidia Mama Samia.
Mimi kuna nyakati niliwaambia watu babu anaweza kuja kupewa nchi, kama wakimteua tu nitajua tayari.Nimemaliza maombi yangu leo asbh kuomba juu ya makamu wa Rais. Jina nililopewa ndio hilo Dr Wilbroad Slaa. Sasa ikiwa ateuliwa mwingine hainihusu lkn nilichokipata kwenye ulimwengu wa roho ndio hichi. Siku njema
inamana ikatokea covid-19 imemchukua maza Slaa awe raisi siyo.DK Slaa atatunyoosha mno kama alivyokuwa anatunyoosha Magufuli, huyu anafaa sana ila ccm sidhani kama wanaweza mpitisha, angefaa sana kumsaidia Mama Samia.
Mtumishi niko pamoja nawe, nimeona katika kutafuta mvuto na kuleta vitu tofauti, na mtu atakayewaweza mabazazi wa huko serikalini, naamini Slaa aweza kutufaa!Nimemaliza maombi yangu leo asbh kuomba juu ya makamu wa Rais. Jina nililopewa ndio hilo Dr Wilbroad Slaa. Sasa ikiwa ateuliwa mwingine hainihusu lkn nilichokipata kwenye ulimwengu wa roho ndio hichi. Siku njema