Mwigulu Nchemba.

Palamagamba Kabudi.

Phillip Mpango.
Mkuu, JokaKuu - kama Taifa letu lipo serious kufuata nyayo za Baba wa Taifa pamoja na mzalendo wa kweli ,mfatiliaji mahili na mchukia rushwa na ufisadi kama Dk.Magifuli - binafsi naona kiumbe ambaye ana fit the bill ni "Bashiru A. Kakurwa" akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais kumsaidia a no nosense mama S. Hassan,wawili hao ndio wataweza kusimamia to the letter mipango yote iliyo anzishwa na Mzalendo JPM na team yake, tukumbuke vile vile kwamba Kakurwa ana traits zote za Mwalimu Nyerere na JPM na kizuri zaidi hana makuu hana makundi au kutaka kujikweza.

Waziri Mpango aendelee kusimamia Wizara yake ambayo ameonyesha umahili mkubwa wa kuisimamia na kwa kuwa Wizara yenyewe ndio life line ya Taifa letu - Waziri Mpango kama walivyo mama S.Hassan na Kakurwa hawana makuu au kutaka kujikweza au kuwapa leeway mafisadi ku-hold at ramsom Taifa letu - the trios mentioned above are as clean as a whistle.Hayo ni maoni yangu, I might be wrong.
 
Bernard Membe hii ndo ilikuwa nafasi yake ya kuchukua ikulu lakini alikosa uvumilivu.

Mgosi January Makamba bado brother-men sana hajakomaa kisiasa huyu anafaa kwanza apewe wizara ya mambo ya nje akomae akili.

Just imagine wewe ndo ungekuwa mume wa rais yaan kama namwona mume wa Mama Samia anavyokula bata ikulu kama mfalme [emoji23].
 
Tatizo ile kanda wanaitaka hiyo nafasi ili kulinda maslahi yao hivyo mama Samia anatakiwa awe makini mno asije penyezewa mtu sio sahihi.Mungu amuongoze kwenye hilo huko mbeleni,wapo wana ccm wazuri tuu.
 
Membe angechukuaje sasa mbele ya mama Samia.
Hivi hawa waliomficha rais mpaka anafariki tuwachukulie hatua gani?
Maana mimi nina hisia mbaya juu ya jambo hili. Wamemfanya nini huko mafichoni?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Katiba umesoma vizuri mkuu?Nenda kaiperuzi ndio uje na wazo lako.
 
Waunga juhudi imeisha hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…