Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, JokaKuu - kama Taifa letu lipo serious kufuata nyayo za Baba wa Taifa pamoja na mzalendo wa kweli ,mfatiliaji mahili na mchukia rushwa na ufisadi kama Dk.Magifuli - binafsi naona kiumbe ambaye ana fit the bill ni "Bashiru A. Kakurwa" akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais kumsaidia a no nosense mama S. Hassan,wawili hao ndio wataweza kusimamia to the letter mipango yote iliyo anzishwa na Mzalendo JPM na team yake, tukumbuke vile vile kwamba Kakurwa ana traits zote za Mwalimu Nyerere na JPM na kizuri zaidi hana makuu hana makundi au kutaka kujikweza.Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Duuuuh siamini macho yangu1. Mizengo pinda
2. Lukuvi
3. Captain mkuchika
Tatizo ile kanda wanaitaka hiyo nafasi ili kulinda maslahi yao hivyo mama Samia anatakiwa awe makini mno asije penyezewa mtu sio sahihi.Mungu amuongoze kwenye hilo huko mbeleni,wapo wana ccm wazuri tuu.Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.
R.I.P Magufuli.
Membe angechukuaje sasa mbele ya mama Samia.Bernard Membe hii ndo ilikuwa nafasi yake ya kuchukua ikulu lakini alikosa uvumilivu
Mgosi January Makamba bado brother-men sana hajakomaa kisiasa huyu anafaa kwanza apewe wizara ya mambo ya nje akomae akili
Just imagine wewe ndo ungekuwa mume wa rais yaan kama namwona mume wa Mama Samia anavyokula bata ikulu kama mfalme [emoji23]
Bila samahani mkuu, sema tu sipo sawa baada ya kifo cha mkuuNonsense... samahani lakini mkuu
Katiba umesoma vizuri mkuu?Nenda kaiperuzi ndio uje na wazo lako.Itapendeza ,kufumba macho ,kubadilisha baadhi ya vifungu , makamu atoke vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja kuvunja bunge , namanisha uchaguzi wa wabunge na madiwani urudiwe upya.
Lengo kuleta mshikamano wa kitaifa, hata huwe malaika kuongoza nchi ikiwa imagawanyika ni ngum Sana, wazee ,wastahafu kutoka CCM, hapa simameni imara kwa maslahi mapana ya taifa.
Hafai vyote ni Muongo, over.Majaliwa anafaa kuwa makamu wa rais au rais
Pole mkuu hata mimi siko sawa lakini tuwe wavumilivu Mungu atatuvushaBila samahani mkuu, sema tu sipo sawa baada ya kifo cha mkuu
Kwa vigezo vipi?Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Hao ni madikteta ukitoa Mipango, Kabudi arudishwe kufundisha, Mwigulu biashara yake iishie hapo ni dikteta.Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Much knowSospeter Muhongo
Waunga juhudi imeisha hioBila shaka kwa nafasi hii watu hawalali, Lumumba na viunga vyake, baraza la Mawaziri nalo lipo tumbo joto maana lazima pangua pangua itakuwepo, kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.