Makamu ni ummy mwalimuHilo sahau! Makamu wa Rais atakuwa ni Mwanaume. Na jina tayari tunalo. Bado tu jina kupelekwa Bungeni, kumuidhinisha na kumtangaza.
Mtanzania.Naomba nifahamu jinsia ya mtoa uzi.
Asante.
Nimesikia ni mzee Sumaye!
Etii Bi moja anamtafuta Bi pili !!!!Nguzo Mama
HahahaEtii Bi moja anamtafuta Bi pili !!!!
Bila shaka Bi pili atazikosa kura za Bi tatu, Bi tano, Bi sita , Bi saba na Bi nane
Nasikia wanataka kumpa DR SlaaBalozi Mahiga alifariki tar 1 May 2020, kesho yake tar 2 May Rais akamteua Nchemba kuziba hiyo nafasi (kabla hata ya mazishi).
Naamini huko Magufuli aliko, angependa tumuenzi kwa kuziba nafasi hizo haraka sana tena kabla ya mazishi.
Hata mkuu wa TISS ni muislamPale anapaswa kuwepo Mkristo, haiwezekani
-Rais Muislam
-Makamu wa Rais Muislam...
Hii ni Tanzania sio ZimbabweVP atateuliwa kutoka JWTZ. Ni jina ambalo litawashangaza wengi maana hajulikani wala hajawahi kusikika popote na ndiyo makubaliano.
Ukabila ukabila ukabila.Na wachaga watajimilikisha nchi yote,kumbuka crdb ilivyojaa wachaga.