Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Sema kwakuwa kazi yenyewe ya umakamu wa rais kwa hapa bongo haina issue zaidi ya kukata utepe kwenye zinduzi basi. Hata awekwe nani kwa katiba hii atakuwa hana nguvu kimamlaka.Mwigulu na Kabudi hapana,, big No
Hao wataendeleza usanii wa kiwango cha juu,, afadhali Mpango.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app