Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Takataka zoote zinafagiliwakivipi?kwani chadema mnaingia ikulu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takataka zoote zinafagiliwakivipi?kwani chadema mnaingia ikulu?
MbowePoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.
R.I.P Magufuli.
Unaumwa weweMwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Mbuzi kesha kula mkekakivipi?kwani chadema mnaingia ikulu?
Naona huijui Tanzania vizuriMambo ya dini yanaingiaje hapa? Kinacho hitakijika ni ubunifu,uzalendo wa kweli na Elimu ya Chuo kikuu ya kuwawezesha wahusika kuchambanuwa masuala ya domestic na Geopolitics kisomi, proper education backgroud counts a lot unlike popular publicity stunts - hasikwambie mtu.
Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
You are joking, January Makamba! Nadhani wewe ni sehemu ya wabaya wetu, of all people January Makamba! Yule yule aliyepikwa na Wamarekani akaiva na kuwa sehemu ya "state capture!" God forbid. Haiwezekani kabisa, tutakuwa tumeiweka nchi yetu rehani kwa Wamarekani. Abaki kuwa Mbunge wa Wasambaa(Mosie) wa Bumbuli ambao hawamuelewi na hawajui yanayoendelea duniani.Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.
R.I.P Magufuli.
Je, Wasukuma wanataka Kutambika ?Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
ConsipracyYou are joking,January Makamba!Nadhani wewe ni sehemu ya wabaya wetu,of all people January Makamba!Yule yule aliyepikwa na Wamarekani akaiva na kuwa sehemu ya "state capture!" God forbid.Haiwezekani kabisa,tutakuwa tumeiweka nchi yetu reheni kwa Wamarekani.Abaki kuwa Mbunge wa Wasambaa wa Bumbuli,ambao hawamuelewi na hawajui yanayoendelea duniani.
😜😜Antipas
Hata maana ya conspiracy huijui wewe, ka-google.Consipracy
Una hadithi nyingi sana kichwani kwako. Hazina maana kwenye ulimwengu halisi labda hadithi.Hata maana ya conspiracy huijui wewe,ka-google.
Yes, nafahamika kwa rare and authentic knowledge, sio udaku.Unahadithi nyingi sana kichwani kwako. Unafahamika.
Sawa.Yes,nafahamika kwa rare and authentic knowledge,sio udaku.
Mmmh[emoji57]1. Majaliwa
2. ?
Prime ni must awe MP, Mbowe is not oneMajaliwa for VP and Mbowe for PM... Tukubaliane kurudi kwenye mstari kwa miaka hii 4 kipaumbele Katiba mpya kujenga taasisi imara.
Tusubiri tuone kwani jukumu hili ni la CCM na wana kikao nyeti Jumamosi ijayo. Subira inalipa!Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.