Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

R.I.P Magufuli.
Mbowe
 
Mambo ya dini yanaingiaje hapa? Kinacho hitakijika ni ubunifu,uzalendo wa kweli na Elimu ya Chuo kikuu ya kuwawezesha wahusika kuchambanuwa masuala ya domestic na Geopolitics kisomi, proper education backgroud counts a lot unlike popular publicity stunts - hasikwambie mtu.
Naona huijui Tanzania vizuri
Suala la dini, jinsia
Mtu wa Bara /Zanzibar huwa linazingatiwa
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

R.I.P Magufuli.
You are joking, January Makamba! Nadhani wewe ni sehemu ya wabaya wetu, of all people January Makamba! Yule yule aliyepikwa na Wamarekani akaiva na kuwa sehemu ya "state capture!" God forbid. Haiwezekani kabisa, tutakuwa tumeiweka nchi yetu rehani kwa Wamarekani. Abaki kuwa Mbunge wa Wasambaa(Mosie) wa Bumbuli ambao hawamuelewi na hawajui yanayoendelea duniani.
 
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Je, Wasukuma wanataka Kutambika ?
Mwalimu na Baba wa Taifa aliwahi kusema, " Karne ya 20 mtu anataka tupande BUS LA MAKABILA? Kazi ya makabila iliyobaki ni kutambika tu!!!
Nawaomba Wasukuma waache hizo fikra potofu za KIKABILA.....! Wasitake kumfundisha kazi Mungu ......yeye ndiye anayepanga. Awamu ya msukuma kuwa Rais imefikia tamati baada ya Magufuli kuiaga dunia. Sasa ni zamu ya Mzanzibari kuikalia Ikulu na Makamu wake atakayetoka Bara awe ni yeyote kati ya Mawaziri watakao onekana wana kipawa cha UONGOZI siyo UTAWALA....!!!!
 
You are joking,January Makamba!Nadhani wewe ni sehemu ya wabaya wetu,of all people January Makamba!Yule yule aliyepikwa na Wamarekani akaiva na kuwa sehemu ya "state capture!" God forbid.Haiwezekani kabisa,tutakuwa tumeiweka nchi yetu reheni kwa Wamarekani.Abaki kuwa Mbunge wa Wasambaa wa Bumbuli,ambao hawamuelewi na hawajui yanayoendelea duniani.
Consipracy
 
Jina la Makamba haliwezi kupata uungwaji mkono wa 50% bungeni, hata kwenye chama kwenyewe sioni

Kumpitisha JM kuwa VP ni kuanza kumpalilia njia ya urais 2025 kitu ambacho sioni kama wanaCCM wasaka urais watakifanya ukizingatia wengine wana influence.

Kwa sasa ndani ya CCM kila kinachofanyika kitaangaliwa kwa jicho la kuelekea urais 2025.

Namuona JM kwenye cabinet na Makonda ana nafasi kubwa ya kurudi kwenye madaraka.
 
Majaliwa for VP and Mbowe for PM... Tukubaliane kurudi kwenye mstari kwa miaka hii 4 kipaumbele Katiba mpya kujenga taasisi imara.
Prime ni must awe MP, Mbowe is not one
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

R.I.P Magufuli.
Tusubiri tuone kwani jukumu hili ni la CCM na wana kikao nyeti Jumamosi ijayo. Subira inalipa!
 
Back
Top Bottom