Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Napendekeza Palamagamba Kabudi afanywe Makamu wa Rais kwa sababu zifuatazo.

Kwanza Kabudi ana maono. Pili anajiamini kama JPM.Tatu elimu inakidhi viwango

Nne na mwisho utendaji kazi wake sina mashaka nao. Hakika atainyoosha nchi hii akiwa na mama jembe Kiboko ya Vidomodomo.

#hayana chama maendeleo!!😂
 
Hivi alithibitisha ubora wa dawa hii ya corona ?
2393157_IMG_20200508_164036.jpg


2393187_20200508_170418.jpg
 
Labda kakutuma. Iliwahi kumuona Kabudi akiongea jambo la maana zaidi ya propaganda? Na uongo. Mbona mna turudisha nyuma jamani. Hawa maprof wa Dr Jpm nadhani wote wamefeli. Hata Msukuma daras la saba H alikuwa ana waambia bungeni.
 
Kama inawezekana Rais angejitenga na watu waliokuwa na kazi ya kupiga mapambio muda wote, ajizungushe na watu wanaoweza kumwambia wapi ameteleza ama anaweza kujikwaa. Maamuzi ni yake ila ana kazi ngumu sana !
 
Paramaganda kiongozi muongo muongo na mnafiki asiyejiamini.
Hafai hata kidogo kuwa karibu na kiongozi mkuu kwani anapotosha na yuko radhi kulamba miguu ili tuu mambo yake yamnyookee

Unategemea nini kwa mtu anayejidhalilisha kuwa aliokotwa jalalani? Hiyo nafasi mama Samia amrudishe mama Asha Rose Mtengeti amfanyie kazi. Kabudi is a sycophant. Zile hela zetu za makinikia na Jiwe walizipeleka wapi hata NOAH hatuzajiona hadi leo.
 
Hata hiyo nafasi aliyonayo inamfaa! Ila kwa ajili ya ushauri kama VP, anafaa sana!
Ila hatutaki kuona tena vp anaapishwa kuwa rais kwa kifo cha rais i see!
 
kwenye elimu achana nako elimu ya kufanya research za sheria haikusaidii chochote kwenye uongozi! Hii ni kujidanganya tu kwa waliosoma😂. Lakini atafaa umakamu kwasababu ya uzalendo
 
Labda kakutuma. Iliwahi kumuona Kabudi akiongea jambo la maana zaidi ya propaganda? Na uongo. Mbona mna turudisha nyuma jamani. Hawa maprof wa Dr Jpm nadhani wote wamefeli. Hata Msukuma daras la saba H alikuwa ana waambia bungeni.
Mtu mwenyewe ana ndimi mbili kwani ni hatari
 
Back
Top Bottom