Najua sio mda sahihi wa kuyasema haya, hasa ukizingatia bado tungali kwenye maombolezo kitaifa.
Lakini pamoja na hayo yote natamani sana kumuona RC wa Simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu zilizobaki za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Antony ni mbunifu, mwenye hekima na busara. Ana sifa zote anazopaswa kuwa nazo kiongoz mkubwa. Ndani ya muda mfupi ameutoa mkoa wa Simiyu kutoka chini sana kielimu na kiuchumi na hatimae sasa hata ambao hatuujua mkoa huo kabla sasa tunaujua.
Mungu ni mwema nakuombea kila la kheri kiongozi bora kabisa katika awamu ya tano.