Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Najua sio mda sahihi wa kuyasema haya, hasa ukizingatia bado tungali kwenye maombolezo kitaifa.

Lakini pamoja na hayo yote natamani sana kumuona RC wa Simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu zilizobaki za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Antony ni mbunifu, mwenye hekima na busara. Ana sifa zote anazopaswa kuwa nazo kiongoz mkubwa. Ndani ya muda mfupi ameutoa mkoa wa Simiyu kutoka chini sana kielimu na kiuchumi na hatimae sasa hata ambao hatuujua mkoa huo kabla sasa tunaujua.

Mungu ni mwema nakuombea kila la kheri kiongozi bora kabisa katika awamu ya tano.
Hakuna mtu atakosea na kuleta mtu wa nafasi hiyo kutoka panze hizo.
 
Najua sio mda sahihi wa kuyasema haya, hasa ukizingatia bado tungali kwenye maombolezo kitaifa.

Lakini pamoja na hayo yote natamani sana kumuona RC wa Simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu zilizobaki za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Antony ni mbunifu, mwenye hekima na busara. Ana sifa zote anazopaswa kuwa nazo kiongoz mkubwa. Ndani ya muda mfupi ameutoa mkoa wa Simiyu kutoka chini sana kielimu na kiuchumi na hatimae sasa hata ambao hatuujua mkoa huo kabla sasa tunaujua.

Mungu ni mwema nakuombea kila la kheri kiongozi bora kabisa katika awamu ya tano.
Nafasi anayo weza pata hapo ni moja tuu. U Pm hawezi pata as siyo mbunge
 
January is our new PM. you can take these words to the bank.
SI mlimfuta kazi kipindi chenu Cha lake zone. Sasa anakuja kivingine.
Hii nchi itatawaliwa na wachaga kupitia mlango wa jikoni.
Piga ua garagaza

January ni muislamu
 
Majaliwa anaweza akawepo pia, matamanio yangu ni kumuona rc wa simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu za nchi yaani VP na PM
Ni mbunge wa jimbo gani mkuu?
Maana sifa ya kwanza ya kuwa PM ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa kutoka kwenye chama chenye wabunge wengi.
Labda kwa hiyo nafasi ya VP
 
Majaliwa anaweza akawepo pia, matamanio yangu ni kumuona rc wa simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu za nchi yaani VP na PM
PM ameshaikosa hiyo nafasi maana sio mbunge wa jimbo........labda hiyo ya VP.
 
Siyo sawa kumtuhumu mh Emmanuel Nchimbi kwa tuhuma za uongo.
Hajawahi kuhusika kokote kuiba mali ya umma, na hana kesi au mashtaka ya jinsi hiyo.
Tuacheni kuchafua watu.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Tunaskia tu hafai tho Hakuna anayesema how and why....... Alifanya nin huyu baba, au n personal feelings tu juu yke. Na hata aspokua VP Kwan kasema n lazma awe[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom