Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri hapo wana CCM wakushangaze!
Utashangaa!! Game changer, king maker, Rostam Aziz, VP! Hata MO Au Bashite aweza kupewa, 9-10 Askofu asiyefufua Gwajiboy aweza magnifies kijiti, au LEMUTUZ super brand![emoji28]
Everyday is Saturday............................... 😎
Njoo na sababu MKUU,but lengo nikupatiwa mtu bora
CV yake hii hapawakuonyeshe faili lake,umjue?
Asha rose Migiro na kwa bahati ni mkristoMadam President, wewe siyo mtu wa maneno mengi ni mtu wa vitendo zaidi (woman of action). Ukiona inafaa tafuta mwanamke jasiri kwelikweli akusaidie kwenye nafasi ya makamu wa Rais. Usiweke mwanaume kuwa Vice President atakuangusha.
This is your time kina mama, onyesheni uwezo wenu kwenye uongozi.
Golden chance never comes twice
Hazina ya kesho huyo.Jokate atuwakilishe tafadhali maana this is our turn 🙂
Hapa poa apewe Migiro, bora tuongozwe na kina mama tupo salama uhakika wa kunyonya upo.Asha rose migiro na kwa bahati ni mkristo