Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Ile team pendwa ya pale alipopasahau jina mzee ruksa iko kazini kweri kweri!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unamzungumzia Majaliwa yupi?Huyuhuyu aliedanganya Taifa kuwa Rais ni mzima wa afya na anachapa kazi au unamzungumzia Majaliwa mwingine ambae mimi simjui?
Kwani Mama Samia alisemaje mchana halafu usiku akatangaza Nini kula Tanga?
Mbona humsemi unakomaa na majaliwa tu?
 
Huyo majaliwa hakuna kitu kabisa, wote hao sioni mwenye nafuu.

Hakuna kiongozi mzuri Tz kama Tundu Lissu, mama avunje katiba au afanye afanyavyo Lissu akae sehemu nyeti ndani ya serikali.

Hapo moto utawaka vizuri.
 
Nawaza tu hapa nikiwa Lindoni, natafakari ikiwa Mheshimiwa Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ataamua kumteua Kassim Majaliwa mbunge na Waziri Mkuu kuwa Makamu wa Rais na William Lukuvi kuwa Waziri Mkuu, tutapata combination ngumu yenye speed ya ajabu.
Watumishi ambao watendaji wazembe watasema bora Magufuli alikuwa na huruma.
Katili ni Matelefone
 
Kwani Mama Samia alisemaje mchana halafu usiku akatangaza Nini kula Tanga?
Mbona humsemi unakomaa na majaliwa tu?
Kadhi Mkuu kwanza nakupongeza sana kwa kutumia picha ya Mh.Rais Samia Suluhu Hassan katika avatar yako japo Mh.amevaa nyekundu halafu anaangalia kushoto ila kuanzia leo nakushauri ubadili ID yako pia kutoka Kadhi Mkuu 1 na kuwa "Suluhu baada ya Pombe 1".Kuhusu ishu ya kukomaa na Majaliwa ni kwamba nakomaa na Majaliwa kwa sababu huu uzi unamuhusu Majaliwa peke yake.
 
Uzuri wa jf HAKUNA maoni ya aina moja.
Mfano wewe unasema uzi inahusu majaliwa peke Yake mbona majibu yako yamechanganya na I'd na user name ya kadhi mkuu 1?
 
Back
Top Bottom