Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Moja kwa moja kwenye bandiko

Kuna mtifuano gani humo ndani wakumpata Makamu wa Raisi kesho Raisi anakwenda kupokea Report ya CAG bila kumpata Makumu wa Raisi

Za chini yakapeti majina matano yamebakia kwenye mchujo...

Update..
Hamna kitu ni uoni au wasi wasi wako tu.
 
Tumezika jana, CCM juma hili watakaa na kupendeza jina kwa Mama.
 
Auditing is very important so that the coming VP can be able to make follow up and advice the President the way forward.
 
Ndio taarifa zilizonifikia muda huu , tuendelee kutega sikio .

Makundi ndani ya ccm yatasaidia sana hiki chama kufa , asante Mungu .
 
Moja kwa moja kwenye bandiko

Kuna mtifuano gani humo ndani wakumpata Makamu wa Raisi kesho Raisi anakwenda kupokea Report ya CAG bila kumpata Makumu wa Raisi

Za chini yakapeti majina matano yamebakia kwenye mchujo...

Update..
Twasubiri
 
Back
Top Bottom