Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

Kumbe hata wabunge waliopitisha ni wazanzibar
 
Mkuu kumbe ukitulia una akili timamu.
 
KWANZA; Nimekusoma mwanzo mpaka mwisho nimegundua kuwa hata wewe hujausoma huo mkataba ili ujue tatizo liko wapi..

Umekuja Kwa mtindo ule ule wa wana CCM wa kutetea wasichokijua. Kwanza hata hujui kuwa mkataba ni wa kugawa bure kwa mwaraabu wa Dubai bandari zote za mwambao wa bahari (Tanga, Pangani, Bagamoyo, DSM, Mtwara na Lindi na zingine zote ndogondogo). Vivyo bandari zote za maziwa makuu ya nchi ya Tanganyika (Nyasa, Tanganyika & Victoria). Upo hapo??

Tofauti yako na wengine ni kuwa, wewe umekuja na lugha laini na ya kistaarabu kidogo kuliko wajinga wengine wajiitao "machawa wa mama!!"

Vyema. Sasa naomba nikupe changamoto kadhaa kwenye baadhi ya hoja zako hapa chini👇👇
Kwa hoja yako tu hii☝️☝️☝️ya ukiritimba.

Je, unadhani tunahitaji mwekezaji toka uarabuni au Amerika au Asia au Australia ili kuondoa ukiritimba bandari zetu?
A: Unaunga mkono hoja gani? Kwamba, Tunahitaji mwaraabu au Mzungu au watu wengine toka mataifa mengine ili waje;
✓ Kutoza tozo zisizo sahihi kwa wateja wa bandari zetu?
✓ Kuzuia mali za wateja kupotea kwenye bandari zetu?
✓ Kuchelewesha huduma kwa wateja?
✓ Kuharibu mali za wateja wakati wa utoaji? nk nk..

B: Sisi kama nchi hatuna uwezo wa kuweka mifumo ya Tehama ya kisasa au mitambo ya kisasa ya kupakua mizigo kiasi cha kutaka kuziuza bandari zetu na kuhitaji mwekezaji toka mataifa mengine??
Hopa tuko pamoja...

Mtwaambie sasa huko CCM na serikali yenu. Mlifuata utaratibu huu wa kisheria? Kama hamkuufuata utaratibu huu wa, nia yenu nii? Na, je tuwafanyeje unadhani? Mnastahili adhabu gani ?
Hii ☝️☝️☝️ndiyo tabia yenu wana CCM.

Kwanini unajishangaa mwenyewe..?
D. CCM inatumia watu wa hovyo kufikisha ujumbe

Chama changu pendwa cha CCM, mmetumia watu wa hovyo sana kufikisha ujumbe au kuelimisha jamii. Nina
Hata wewe bado ni wa hovyo. Bado huna hoja.

Haya 👇👇👇ulipaswa uyapeleke mjadiliane huko kwenye vikao vyenu..
Wewe unawezaje kuzijibu hoja hizi? Unadhani zina majibu??

Dhubutu.. HAKUNA awezaye kujibu huko CCM Kwa sababu mwizi hawezi kujitetea Kwa lolote anapokuwa amekamatwa na uthibitisho wa kitu cha wizi isipokuwa hatua paswa kuchukuliwa ni kuhukumiwa tu..!!
Wewe una majibu?
Unalemba nini? Kwanini unazunguka mbuyu?

Kuwa straight tu kwa kusema "mkataba huu ni mbaya, ni mkataba ambao Wazanzibari hawa (Samia, Mbarawa na Katibu mkuu wizara ya ujenzi) wameamua kumpa mwaraabu bandari zetu za Tanganyika bure na unavunja sheria na katiba yetu pamoja na muungano!!
2. Mwekezaji naye aelezwe kwamba kuna ABCD tunataka wananchi waelezwe, ili kuzuia baadae asije kuwa raisi wa kariba ya wale wasiofuata sheria kama fulani, akaufutilia mbali.
Huyu DP World amekosa sifa ya kufanya biashara na Tanzania, anapaswa kuwa disqualified moja kwa moja kwa kuwa dhamira yake si njema. Na kuna kila dalili kuwa ametumia njia za kimafia kutaka kuingia nchini kwetu kuja kupora rasrimali za nchi huru nyingine kwa kumdanganya na kumlaghai Rais wetu Samia Suluhu Hassan ili aiuze Tanganyika kwao..

Na kuna kila sababu mtu kuamini kuwa Rais Samia na wenzake huko serikalini WAMEHONGWA ili kumsaidia mwaaarabu huyu kuchukua sehemu ya nchi ya Tanganyika. Tumeshituka. Hatutaki ukoloni wa namna hii..!!
Mwisho, Tanzania ni zaidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, Tanganyika, ACT, Uislamu, Ukristo, au Upagani.
Sema; Tanzania ni zaidi CCM. Sio hivi ulivyosema hapo☝️☝️.

Tofauti na CCM, hawa CHADEMA, ACT Wazalendo, CUF nk nk ni wazalendo kwelikweli maana wameona uhuni na ujinga uliotakwa kufanywa na nyie CCM na kuupigia kelele kuukataa...!
 
Inasikitisha sana, mtu mwenye mindset za " Leo Tena" kujaribu kushawishi umma kwenye suala la DP World. Nchi imekaa kishangingi sana .
 
Kwa kweli nimesoma hadi raha. Nadhani hakuna mwenye ujuzi anaweza kutetea hii MoU ndiyo maana hao wasanii wamekuwa wasemaji. Asante sana kwa kutoa muelekeo wa hili swala
 
Kama hatujui uendeshaji wa bandari wa kisasa tutaandika nini sisi tuliozoea umepitwa na wakati. Wao ndio waandike wataendeshaje.
Ujinga ni kuitaka huduma ambayo hujui utahudumiwa vipi.
 
Serikali ilinunua mabehewa ya mtumba tukapiga kelele weeee lakini waliponunua mabehewa haya ya gorofa mbona kila mmoja alifurahi serikali ijitathinini sana. Urais wa mwishi 2025 sa100
 
Mkuu
Heshima kwako sana sana.
Umeumiza kichwa kuleta udadavuzi wenye kuchochea fikra tunduizi ktk suala la bandari zetu.

Natumaini bibi FaizaFoxy akipita hapa ataelimika na kujipa nafasi ya kutafakari maslahi ya nchi anapozunfumzia huu mkataba wa Makubaliano
 
Ok
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…