Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

Hakika MATAGA safari hii lazima mtoane macho maana kila mtu anajitahidi kukimbia kujitoa kwenye chumba chenye uchafu na uozo mlichokikalia kwa miaka 6.

Ndugaye yeye kesha wakimbia maana ana platform ya kujielezea na watu wakamsikia.
Wewe nawe unamatatizo Sana, na sjui Kwa nini huwa sikupendi kuliko wanajamvi wote hapa, sjawahi kujua nini sababu, leo imenibidi nikwambie tu aisee!!

Mmawia, sikupendi vibaya Sana aisee
 
Inaonyesha ni jinsi gani kuwa mteuzi wao alikuwa anawabana ili wakubali kila jambo alilokuwa analihitaji.

Leo hii kaondoka watu wameanza kurudi kwenye uhalisia wa akili zao.

Nina patwa na mashaka hata ule uamuzi wa kumvua ubunge mh Lissu ulikuwa ni wa spika au ilikuwa ni maagizo kutoka kwa jiwe.
 
Wewe nawe unamatatizo Sana, na sjui Kwa nini huwa sikupendi kuliko wanajamvi wote hapa, sjawahi kujua nini sababu, leo imenibidi nikwambie tu aisee!!

Mmawia, sikupendi vibaya Sana aisee
Mimi ndiyo kabisa na nakuombea corona ikupitie
 
 
Huyu sabufa alituambia Mwendazake ataongezewa muda atake asitake!
Leo anakuja na porojo za Bandari ya Bagamoyo kwamba ushauri ulikua mbaya je yeye sio sehemu ya kuishauri Serikali ile?
Vigeugeu wa aina hii ni hatari sana kwa Maendeleo y Nchi yetu.

Watake wasitake Mwendazake alikua Shujaa na mzalendo w kweli wa Nchi yetu, Maziko yake yamedhihirisha mapenzi makubwa ambayo Watanzania walikua nayo juu yake.

Pumzika kwa Amani John.
 
Ni sipeeka
 
Kweli kabisa, Ndugai aliusifia sana huu mradi na hadi akawa anaishangaa serikali inataka nini cha zaidi. Meko alipoibuka na kuuponda hatariiiii, bwana Ndugai akawa mpole na sikumbuki kama aliwahi kuusemea tena.
 
"Kaa tu mbwe" in Jiwe's voice.
 
Hawaminiki tena vipi??? mlikua mnashauriwa hamtaki mnapiga watu risasi mchana kweupe nakubambikia kesi kila aliewaambia ukweli mkamuita msaliti nakutuimbia mapambio kila mahali. niwew pekeako nauzembe wako ndo ulikua unawaamin

yaan hovyo kabisa
 
Hatake Hasitake Hataongezewa! Mpaka ulilokusudia kusema limekuwa kinyume!
Sasa ondoa hizo "H" kila neno utapata unacho kusudia.
 
Umesahau biashara ya manunuzi ya wabunge 19 "Covid 19" aliyoshiriki huku akijua wazi anaivunja KATIBA. Nusrat Henje kutoka gerezani, moja kwa moja bungeni kuapishwa. Hili alilifanya kwa mwavuli wa Meko, sasa anaona Madam President mtazamo wake ni tofauti na ule wa mwendazake anaanza kujisogeza kwa mama.
 
Rekebisha kiswahili mkuu. Kiswahili kizuri ni "Atake asitake, ataongezewa muda" SIYO "Hatake hasitake, hataongezewa muda" Comment yako imepoteza maana kabisa.
 
Unadhani mtu kama huyu anafaa??

Mtu mnafiki asiye na msimamo anafaa nini?
 
Anaangalia maslai yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…