Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Ilitakiwa aombe bumunda alipolipa mahari tu kama ni mchumba ambae hawakuwahi kutana kabla.

Kwa dunia ya leo lazima utest mitambo kwanza. Unaweza jifanya mtiifu, baada ya ndoa unakuta kumbe umeoa dume mwenzio anaefanania mwanamke..

Huyu ni wa kiume,. Just so you know.
 
Ilitakiwa aombe bumunda alipolipa mahari tu kama ni mchumba ambae hawakuwahi kutana kabla.

Kwa dunia ya leo lazima utest mitambo kwanza. Unaweza jifanya mtiifu, baada ya ndoa unakuta kumbe umeoa dume mwenzio anaefanania mwanamke..
Wote hawajawahi kushiriki tendo, mwanamke bikra, mwanaume pia hajui nyapi ninapokaa na ilivyo
 
Kama mkeo ni bikira hutapata shida lakini kama aliondolewa ubikira hatakuelewa pamoja na nia yako nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…