Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

Nimefurahi umenifanya sijasoma hadi mwisho taarifa hii.. umeanza ujinga kuandika mapema.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ningeumia nisome hadi chini ndio nikute kumbe ni stry ya kipuuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe umeshtuka Kama Mimi sijamaliza fala Sana huyo dogo..ha haaa mpuzi mmoja hivi kutoka ndani ndani huko kaja mjini kukaa kwa shemeji yake
 
I missed you Bill Lugano... kali gwali ifisile kughu nkonyofu ugwe
 
Kidukulilo kwenye ubora wako. Unabadiri IDs kama dalali
 
[emoji23][emoji23] dah uchafu gani huu nimesoma hata nmeshindwa kumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…