Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

Bora wewe eti, kuna rafiki yangu mmoja alikuja kuniomba nimkopeshe hela, akawa anasema lakimbili, sasa mie laki mbili siijui,

Akawa ananishangaa anasema nnadharau, nikicheki kwenye mkoba kuna pounds tu na Euro, nikamweleza labda aniambie Euro ngapi nisawa na laki 2 nimpe maana nna muda sijaona hela za Tanzania ingawa naishi tanzania. Nikaona isiwe tabu nikampa Euro 500 sa sijui alipata shingapi!

Istoshe hata kiswahili tu sikijui vizuri naandika kwa taaaabu saaaana, as nimezaliwa na kukulia UK huku nilikuja kuangalia mashamba yangu ya Samaki[emoji1787] you know ............

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Nimesoma kidogo nikarudi kuangalia ID nikaona isiwe kesi nikaja kwenye comment.
Si mmeiona comment yangu lakini?
 
Mtoa mada pia ungemshauri awanunulie ka helikopta kadogo hata ka sh. bilioni 8. kanatosha wawe wanaendea kwenye mbuga za wanayama au beach kupunga upepo. Wazazi wanapaswa kupendwa bwana.😲😲
 

We hizo hela umempa? Kwani Amana sio Hospital?
 
Dereva wa ofisi yenu analipwa dola nyingi sana 😂😂😂😂
 
Akili za kina lulu diva
Kujisifia maujinga mitandaoni nyumbani wazazi wanaishi nyumba ya udongo
Hata kama unatumia id ya uwongo embu jaribu kuwa rationale
 
Baada ya kusoma Saiv nipo hospital wanifute machozi aisee whyy lakin
 
Hii ni trela la muvi ya kibongo ama!!


Kichwa BoX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…