Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

Mi nimelia sana maana una matatizo.
 
Tajiri wa maandishi kiduku lilo kwenye ubora wake.
 
hiyo I'd hata sio mpya mbona alivyotangaza kwamba kaamua kuchange Jina from kidukulilo to Bill Lugano alitoa taarifa,ufafanuzi na sababu zake na tulimbariki Sana,Uzi wake upo humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ile ID ya Kiduku lilo ilikuwa nzuri sana inaendana na mada zake
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka hadi machozi, Asante sana kidukulilo kitambo sana hatujapata nyuzi zako za kitajiri
 
Hahahahah kwahiyo tajiri upo hapa hapa mjini daslamu halafu unafeel kipupwe any time kiasi kwamba hili joto unalisikia Kwa mass media watu wakilalamika daaaa
Life thugs!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani hao madokta au wanasheria wafamalia wanapatikana wapi mimi pia sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…