Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

Edzone,
Jiheshimu wewe huyo bill tunamjua humu na tunaenjoy tu ,usitumie uhuru wako vibaya nani umeona katukana humu? Wewe na bill nani kaandika utumbo? Tafakari
 
Nimecheka sana hii asubui [emoji16][emoji16][emoji16]
 
wee mhaya kumanina kabisa watu wana nunua harrier kama gari yao ya maisha wewe una sema sio gari wakati watu hawana hata pikipiki na wana shukuru tu uachage u k*m* be mdogo hii dunia bi ndogo sana [emoji1]
 
Daaah haya maisha ya mtandaoni ukiyafuatilia sana unaeza kufa kwa stress
 
Jocking content

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣nimelia kwa kweli ndugu nshomile
 
Yaani unawapeleka Wazazi wake Agakhan Hospitali chafu vile?? mweee!! imekaa kitapeli tapeli tu! joto tuuuu! njaa ya hela wahindi wale ! wabaguzi na wewe pia huwapendi sababu umeenda kuwalisha sumu wazazi wa mwenzako.

wale wanatibu na dawa zilizo expire!! huna hela nini??!! badala ya kuwa beba na air ambulance wanalazwa humo ndani ya ndege kwanza!! wanaanzia matibabu hukohuko juu! kwenda SOUTH.

wewe na uelewa wako finyu huo unatoa mji gari m-bovu huo! halina kiti ch daktari halina dawa za dharula halina kitanda sasa mgonjwa akizidiwa atasaidiwa na nani?? mgonjwa anakaa kwa kiti kigumu vile??

umewaburuza sana hao!! wewe ulitaka kuwauwa tu! hata mafuta ya uhakika kwa helikopta unge jaza Nairobi kwa wajanja kwa nini hukufanya japo km Lisu?...sasa Dr gani alimsindikiza kwenda Aghakhani yako hiyo? km kweli uko seroius??

tena wahindi yana dharau yale majamaa wee!! acha tu!! ukifika wanakuona nyani huyooo!! kaja kwa mbwembwe!! ungemrusha na ndege la kukodi tanzanair to Baragwanath General Hospital!.....atibiwe na raia mchanganyiko! au

ungempeleka Queen Mamhato genaral Hospital! tunako tibiwa sisi wajanja! wenye hela na wadhifa!! lkn huko uliposema ulitaka kuwaua!! tu! ....usirudie tena, kufanya ivo nakuonya km hujui uje uombe msaada kwangu ujaze form getini ukifika!

sawa la chama....
 
Kiduku lilo aka bill lugano katika ubora wake..😊😊 msio mjua mtatoa povu Sana..!! Mwamba Bill Lugano tufungulie ya mwaka mpya basi Mzee baba tuustue umaskini
ameniudhi kuwapeleka wazazi wa mwenzake Agakhan bana!! aaah!
 
Yaaani umewapeleka Mbezi beach kure kwenye madimbwi ya maji kutoka mbezi juu!!....unataka wazazi wa mwenzako waondoke na mafuriko? .......you are not serious

hujui tu kule yalikuwa mashamba ya mpunga zamani za uhuru!..ndo maana maji hayaishi huko!!! weee endelea tu unacho kitafuta kwa wazazi hawa utakipata
 
Mkuu ,boss ,mutu mukubwa kiduku lilo kuna habari zimeenea kwamba umeinunua jamiiforums na kumpatia zawadi mkuu maxence melo maana haupendi kutumia platforms za bure bure hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimefurahi umenifanya sijasoma hadi mwisho taarifa hii.. umeanza ujinga kuandika mapema.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ningeumia nisome hadi chini ndio nikute kumbe ni stry ya kipuuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pia alipoanza kuponda aina za magari nikaona inawezekana hata anachokisema ametokwa na machozi ni uongo.
Eti familia kua na shehe au padri wake.
 

Bill lugano, ali-oder hio pens kutoka USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…