Kama ni hivyo..waliokuwepo wakisikiliza ni wanawake na wanaume, why mgeneralize wanawake wote wametukanwa?Mtu akija mbele zako kisha akaanza kumtukana mtu ambaye hayupo eneo la tukio, kimsingi anakutukana wewe unayemsikiliza.
Matusi sio ujumbe hivyo hayawezi kutumwa, mtu akikupa matusi umpelekee mwingine anakuwa kakutukana wewe.
Mimi ni mwanaume, lakini siwezi kumbeza mwanamke kwa hali yake yoyote ile. Hata mwanamke anayeitwa malaya ni mama. Na hataacha kuwa mama hata kama ni mwendawazimu.Sio kila mwanamke ni malaya na sio kwema huyo aliyeongea ametukana wanawake wote
View attachment 1555089
Huyo msemaji anatakiwa kukanusha au kuhalalisha umalaya wa huyo mwanamke anayemtaja
Tafsiri ziko nyingi hapo...unapomtuhumu mtu bila ithibati unakuwa umetoka nje ya mipaka na kufanya majumuisho kengeufuKwa tafsiri hiyo inathibitisha kuwa sio kila mwanamke ni malaya.
Siasa na kampeni ni uwanja wa ushindani. Na kila mgombea anajitahidi kupata ridhaa ya wananchi kuutumia udhaifu au kuonyesha udhaifu wa mwenzie. Personal attacks ni mbaya mno na sio kwa wagombea hata hapa jukwaani.Mimi ni mwanaume, lakini siwezi kumbeza mwanamke kwa hali yake yoyote ile. Hata mwanamke anayeitwa malaya ni mama. Na hataacha kuwa mama hata kama ni mwendawazimu. Umewahi kumwona mwanamke hata ambaye akili yake siyo timamu ameukumbatia mdoli wake? Unapata ujumbe gani? Watu waache kuwabeza wanawake, ni wazazi wetu. Kama humpendi mwanamke fulani sema humpendi lakini hiyo labeling haikubaliki kwa jamii iliyostaarabika.
Naona ghafla umeshajua matumizi ya neno malaya. Shithole mkubwa.Mama yangu hakuwana sifa ya malaya Pia usisahau na mama yako kama naye anajiuza.
Nadhani upo sahihi kuwa walitukanwa wote (kwa kusikiliza) ila specifically tusi ni la kike, wanaume wametukanwa indirectly kwa kuwa wana unasaba na wanawake in one way or another (mama, dada, mke etc)Kama ni hivyo..waliokuwepo wakisikiliza ni wanawake na wanaume, why mgeneralize wanawake wote wametukanwa?
Maalimu hajawaita ccm Mahanith bali kasema ccm wasilete uhanith.Mbona maalumu kawaita ccm mahanith, hizo Ni siasa tu zitaishia oct28
Mama yangu hakuwana sifa ya malaya Pia usisahau na mama yako kama naye anajiuza.
Ndio maana nasema aweke elimu yake hapo nami niweke yangu. Na kwa kuwa umeongeza exposure aweke pia nami nitaweka exposure yangu ili ulinganishe vizuri.
Bila shaka wewe ni shemale!Lakini kamtaja mwanamke mmoja sio wote
Iko siku ataongeza idadi..atasema wanawake wa mkoa fulan wote Malaya...hapa katukana jamiiLakini kamtaja mwanamke mmoja sio wote
Ni ndoto, matusi ni Sera zao hao Fissiem!NEC na police wamchukulie hatua kwa siasa za matusi
Mkurugenzi! Hahahaha haya, kumbe ni Katibu Tarafa??Humfikii ndugu yangu pambana na ukatibu tarafa tu huko Mahenge na miccm yako
🤣🤣🙌😀🤸🤸! Hana lolote kujitia tu ubabe ..Mkurugenzi! Hahahaha haya, kumbe ni Katibu Tarafa??
Halima alisema mwaka huu wametuletea mrembo ...kwani alimaanisha Gwajima au CCM!Mimi siungi mkono kutumia lugha isiyokubalika kwa wagombea; hata hivyo nahisi tujikite kwenye hoja za kuendeleza watanzania; Kama Muheshimiwa Lisu anavyosema ataongeza Ajira kwa vijana nk...
Hakutumwa huyo na mwenyekiti wetuHuyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio msimamo wa CCM Taifa kuwa CCM siku hizi wanawachukulia wanawake kama Malaya.