Kumbe wanaogawa bure hovyo hovyo sio malayaMalaya kwa lugha ya kiingereza (english) "prostitute" ,lina maanisha mwanamke yeyote anayeutoa mwili wake kimapenzi ili alipwe.
Linapotumika kumtambulisha mtu fulani , inamaanisha mtu huyo amedhihakiwa kwa kuitwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuulize mama yako analo jibu.Kwani neno malaya matumizi yake ni yapi?
Kwahiyo wewe ndiye unayeelewa Kiswahili zaidi? Umejaza tu kamasi kwenye fuvu lako hilo. "Mwanamke yule" kwani amemtaja jina? Kama hajamtaja jina, unajua anaweza kuwa hata mama yako wewe, maana naye ni mwanamke, siyo? Ushabiki huu unaokupofusha kutoyaona mambo kwa picha kubwa haukusaidii kitu chochote zaidi ya kuukomaza upumbavu wako. Saccos imetoka wapi tena kwenye huu mjadala? Mtu yeyote anayeukataa ujinga ni mwanachama wa chadema? Kwahiyo na wewe unategemewa na hicho chama chako kwamba unakipambania? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]M/kiti amesema Mwanamke yule Malaya siyo wanawake! Kiswahili kinawapa shida sana wanasaccos.
Wewe vipi? Kama hujui siasa na kiswahili cha mipasho utahangaika sana. Kwani hujui kuwa Tarime Mjini kuna mgombea ubunge mwanamke?! Tumia vizuri ubongo wako!Kwahiyo wewe ndiye unayeelewa Kiswahili zaidi? Umejaza tu kamasi kwenye fuvu lako hilo. "Mwanamke yule" kwani amemtaja jina? Kama hajamtaja jina, unajua anaweza kuwa hata mama yako wewe, maana naye ni mwanamke, siyo? Ushabiki huu unaokupofusha kutoyaona mambo kwa picha kubwa haukusaidii kitu chochote zaidi ya kuukomaza upumbavu wako. Saccos imetoka wapi tena kwenye huu mjadala? Mtu yeyote anayeukataa ujinga ni mwanachama wa chadema? Kwahiyo na wewe unategemewa na hicho chama chako kwamba unakipambania? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pengine ni jina la Mama ykoKwani neno malaya matumizi yake ni yapi?
Asikusmbue huyo, hao watu walioajiriwa (wengi wao) huwa hawana akili nzuri, huwa wanakuwa kama mazezeta au kuku wa dawahehehheheee le mbebez ..kwamba wewe "MUAJILIWA"? NANI "KAKUAJILI PUNGUWAN WEWE🤣🤣🤣🤣"AJILA" HOYYYEEEEE!.
kifupi mfate pm akupe walau tuition ya kuandika ujue sarufi na silabi😀mbaaafu
Kuna mtu alidai nikatafute kazi ndio nikamjibu. Niko ndani ya madaHahahaha rudi kwenye mada please, relax
Sijasema hivyo hiyo ni tafsiri yako.Yaani wewe kuajiriwa ndo unaona umeyapatia maisha? Maskini..
Inawezekana mtambulishaji anafahamu kuhusu maisha binafsi ya huyo mama. Kumbuka katika siasa kuchafuana ni kitu cha kawaida hasa kama una makandokando lazima wapinzani wako watayatumia kukushambulia. Angalia hata Trump alivyowahi kushambuliwa kuhusiana na mambo ya mapenzi.Malaya kwa lugha ya kiingereza (english) "prostitute" ,lina maanisha mwanamke yeyote anayeutoa mwili wake kimapenzi ili alipwe.
Linapotumika kumtambulisha mtu fulani , inamaanisha mtu huyo amedhihakiwa kwa kuitwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kiwango chako cha umbumbumbu hukupaswa kuchangia maana huna hata uwezo wa kusona na kuielewa sentensi rahisi ya kiswahiliKamuulize mama yako analo jibu.
Nilidhani Ndugu yangu Mshana ni mchambuzi wa mambo...May be I am wrong....huyo mnayesema ametukana wanawake wote amebambikiwa kwa mujibu wa andiko la uzi huu kwamba alimtaja mtu fulani kwa neno au tusi hilo...Sasa inageuzwa kwamba ametukana wanawake wote akiwemo mama yake...duh....I hate politics....Hapo kamtusi mpaka mama yake mzazi
Ukimsikiliza alietukana anasikika akisema " yule mwanamke malaya" hakutaja jina hivyo ujumbe uliopo ni kwa wanawake wote kwa kusimamia neno 'yule' bila kutaja ni yupiBest hujanielewa.
Watu wanavyojumuisha wanawake wote wametukanwa ndo nashangaa, why akitukanwa mwanaume hamjumuishi wababa wote?
Kitendo cha kumtukana mtu yoyote hasa hadharani haipendezi.
Mambumbumbu mko wengi humu Jf kama mngekuwa mnaonekana mbona ingekuwa fedheha! Nikihesabu ambao wamekurupuka kunijibu bila kuelewa mantiki ya kuuliza kwangu nashangaa! Unafikiri nilipomuuliza mlalamikaji nilikuwa sijui maana yake?Pengine ni jina la Mama yko
Yule mwanamke...means ni mmoja. Na amejulikana . Kwahiyo tupinge kutukanwa kwake sio kuwanyong'onyeza wanawake wote eti wametukanwa. Wengine labda not meUkimsikiliza alietukana anasikika akisema " yule mwanamke malaya" hakutaja jina hivyo ujumbe uliopo ni kwa wanawake wote kwa kusimamia neno 'yule' bila kutaja ni yupi
Ni juu ya wanawake woote kuamua kumpotezea au kumuhukumu
Wanawake wengi huwapati kwa mtego wako huo. Wanawake watapiga kura kwa hoja.Ukimsikiliza alietukana anasikika akisema " yule mwanamke malaya" hakutaja jina hivyo ujumbe uliopo ni kwa wanawake wote kwa kusimamia neno 'yule' bila kutaja ni yupi
Ni juu ya wanawake woote kuamua kumpotezea au kumuhukumu