Watu walibisha kuwa Kuna pesa imemwagwa na ccm kwenye uchaguzi wa chademaHata wewe ukiwa tajiri kila mtu atakutaka uwe karibu naye hawa watu walikuwa na mipango mibaya sana kuhusu mageuzi na wana mageuzi mbowe kanunuliwa tangu yupo jela
ila Mungu ni mwema sana. Bob Marley alisema, huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote.Walikuwa na uhakika kuwa watamshinda na ndio maana waliona hilo swali halina mantiki upande wao
Ila Mbowe tapeli sana,damu za wanachadema waliokufa hazitamwachaHata wewe ukiwa tajiri kila mtu atakutaka uwe karibu naye hawa watu walikuwa na mipango mibaya sana kuhusu mageuzi na wana mageuzi mbowe kanunuliwa tangu yupo jela
Chaume imetoka kuwa chama cha ubwabwa na kuwa chama cha matapeli AkA Mbowe 's political businessView attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Haiwezi kuwa mwisho mkuu yeye atabaki kuwa alifanya aliyoyafanya kama mchango wake, hata sasa kuna watu wanamuona Lissu anapigania wajinga na hawezi kufanikiwa anapoteza muda wake tu.Hapana kwa kweli mkuu...siku Lissu anahamia sjui chauma act ama ccm ndio itakua mwisho ..
Nini kinafanya baadhi ya watu wakihama chama kimoja kwenda kwingine lazima wafanye matangazo ?View attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Anatimiza haki yake kikatiba, kuna tatizo?Kesho ndiyo yule shahidi namba moja wa jamhuri kwenye kesi ya uhaini dhidi ya Lissu atatangazwa kujiunga na Chaumma na kuwa mgombea wao wa urais.
Chama sio mama yao wala baba yao.Hakuna kuhama chama imewageukia
saanane, Alphonse Mawazo,soka, mzee kibao, aisee siasa ni ujingaNa kuna watu walikua tayari kuifia Chadema,pole zao aisee
Acha ujinga wewe, aliyekwambia watanzania ambao siyo wanachadema ni wasaliliti ni mjinga gani hiyo?
View: https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ
View attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.