Baada ya kukaa kanda ya ziwa kwa miaka 5, nimejifunza yafuatayo

Msukuma kaja kujipraudi... Mmeacha wizi wa ng'ombe na fedha za Watanzania?
 
Mengi ni maoni yako binafsi.
 
yaani kwa miaka 5, hivyo vitu3 tuu ndivyo ulivyogundua?? are you serious??
 
Wanakadiliwa?
ndio nini mkuu?
 
chunguza tena
Utawakuta wanyakyusa/waha/wabondei/wapare/etc/CHAGGA wengi sana wapo mikoa hiyo na wanazungumza KISUKUMA,

ukitaka ishi na watu jifunze yakwaoo, ndivyo makabila hayo yalivyomudu kupenya hadi usukumani na kuishi naooo
 
Kanda ya ziwa ni wachapa kazi sana lakini hawana tamaa ya pesa kabisa ukilinganisha na kanda ya Kaskazini na siyo wanafiki kabisa.

Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
Kwanza Kabisa umemaliza vibaya, kulikuwa na haja gani ya kuzungumzia kanda ya kaskazini?

Okay kwa taarifa yako katika taifa hili hakuna watu waoga na wanafiki kama watu wa kanda hiyo unayoisakafia.
 
Hawa ambao wakiona mabinti weupe wanachanganyikiwa kabisa bado wanaushamba wa hali ya juu.
Mtu wa kanda yeyote kama maisha yake yote ameishi kijijini akifika mjini lazima ataonekana mshamba
 
Kwanza Kabisa umemaliza vibaya, kulikuwa na haja gani ya kuzungumzia kanda ya kaskazini?

Okay kwa taarifa yako katika taifa hili hakuna watu waoga na wanafiki kama watu wa kanda hiyo unayoisakafia.
Ndiyo kanda pendwa kwa wizi
 
umesahau kimoja, wanawake wao ni wanyenyekevu mno, na hata ukiwaomba ni mama huruma. nilikuwa sijui hili hadi nilipoishi huku, sisemi kwa ushabiki au kwa nini, mwanamke wa kisukuma kwa muonekano huwa anaonekana sio malaya, ila ukimwomba akakataa, kaoge maji ya bahari ya pasific. ngono usukumani ni kitu cha kawaida kama ilivyo kagera tu. tofauti na wachaga wengi wanaanza ngono wakipitisha miaka 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…