MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Ulipaswa tu umwambie, aseme anavyojua yeye. na si kumwambia hana akili!!Huna akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipaswa tu umwambie, aseme anavyojua yeye. na si kumwambia hana akili!!Huna akili
huwa naona wanawake wanasema kuwa wanaume wa kisukuma wanajua kucare na kuwajali wanawakehujatujua vizuri sisi wasukuma
Which means kuna negatives kibao kazitunza sio!?
Mengi ni maoni yako binafsi.1. Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.
2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu , Shinyanga, Mwanza , Geita na Tabora. Maeneo yote haya watu wanazungumza lugha ya kisukuma iwe mjini au vijijini.
Nimejifunza kabila la wasukuma ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
3. Kanda ya ziwa ni wachapa kazi sana lakini hawana tamaa ya pesa kabisa ukilinganisha na kanda ya Kaskazini na siyo wanafiki kabisa.
Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
Wanakadiliwa?1. Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.
2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu , Shinyanga, Mwanza , Geita na Tabora. Maeneo yote haya watu wanazungumza lugha ya kisukuma iwe mjini au vijijini.
Nimejifunza kabila la wasukuma ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
3. Kanda ya ziwa ni wachapa kazi sana lakini hawana tamaa ya pesa kabisa ukilinganisha na kanda ya Kaskazini na siyo wanafiki kabisa.
Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
Kama ni negative bado ungetuambia?
Jikite kwenye hojaHuna akili
Hawa ambao wakiona mabinti weupe wanachanganyikiwa kabisa bado wanaushamba wa hali ya juu.Umenena vyema, pia kina ngosha ni husband material haswaa.
Kwanza Kabisa umemaliza vibaya, kulikuwa na haja gani ya kuzungumzia kanda ya kaskazini?Kanda ya ziwa ni wachapa kazi sana lakini hawana tamaa ya pesa kabisa ukilinganisha na kanda ya Kaskazini na siyo wanafiki kabisa.
Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
Mtu wa kanda yeyote kama maisha yake yote ameishi kijijini akifika mjini lazima ataonekana mshambaHawa ambao wakiona mabinti weupe wanachanganyikiwa kabisa bado wanaushamba wa hali ya juu.
umesahau kimoja, wanawake wao ni wanyenyekevu mno, na hata ukiwaomba ni mama huruma. nilikuwa sijui hili hadi nilipoishi huku, sisemi kwa ushabiki au kwa nini, mwanamke wa kisukuma kwa muonekano huwa anaonekana sio malaya, ila ukimwomba akakataa, kaoge maji ya bahari ya pasific. ngono usukumani ni kitu cha kawaida kama ilivyo kagera tu. tofauti na wachaga wengi wanaanza ngono wakipitisha miaka 20.Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.
2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la Wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Mwanza, Geita na Tabora. Maeneo yote haya watu wanazungumza lugha ya kisukuma iwe mjini au vijijini.
Nimejifunza kabila la wasukuma ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
3. Kanda ya ziwa ni wachapa kazi sana lakini hawana tamaa ya pesa kabisa ukilinganisha na kanda ya Kaskazini na siyo wanafiki kabisa.
Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
tena ni mabikra kabsaUmenena vyema, pia kina ngosha ni husband material haswaa.