#COVID19 Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

Hayo ni maoni yake na yuko sawa kusema..

Last year Jiwe alizima mitandao ila nikashangaa umekuja na bandiko kuwa mitandao iko sawa na gazeti la Newyork ndio linaichafua serikali..
 
Kaka wewe ni mwanasheria angalia tena tafsiri ya neno in surbodination.

Surbodination yahusiana na amri au agizo yaani order yaani kwa mfano Rais Samia angesema serikali imepokea chanjo kutoka COVAX na sasa "natoa agizo kila mtanzania achanjwe" ukipinga hapo weye ni mkaidi.

Kwahiyo wewe kufukuzwa kazi kungekuwa kuwa bosi mkuu ametoa agizo hakuna chama cha upinzani kupewa "airtime" kisha weye ukawatafuta hao wapinzani na ukawapa airtime hiyo ni surbodination.

Yaani umekaidi au kudharau kauli ya mamlaka au authority kutoka kule juu.

Lakini hoja kwamba ulifukuzwa kwasababu ilisemekana wawapendelea upinzani hiyo si Surbodination.

Nikupe mfano hai jana raisi Biden ametoa agizo (directive) kwa waziri wa ulinzi wa Marekani bwana Lloyd Austin kuangalia namna ya kuwachanja maaskari wote wa Marekani.

Hivyo kuna uwezekano mkubwa Pentagon wamaamuru chanjo iwe ni lazima kwa wanajeshi wote.

Hivyo raisi Biden akiwa Commander- in -chief kaamuru chanjo iwe mandatory yaani lazima kwa wanajeshi.

Hiyo ni mbali na kauli za kubembelezana na wananchi na kuwapa vijizawadi vya tufedha ili wachanjwe.

Kwahiyo basi kama kuna mwanajeshi atakaidi amri hiyo ya raisi Executive order basi anakuwa ametenda kitendo cha in surbodination na ni lazima awajibishwe.

Raisi Samia hajatoa agizo chanjo iwe lazima bali ni hiari na kila mwananchi wa nchi hii ana uhuru afe kwa kutochanjwa au apate chanjo kwa hiari yake mwenyewe.

Hivyo tuwe makini na baadhi ya terminologies.
 
To me he is just another attention and self seeking being...Huwezi kufanikiwa kwa lolote ukiwa na selfish characters za namna hii
 
Hahaha kuwalinda wengine kivipi jamani jamani wakati kuta kuwa na makundi mawili waliochanjwa "walio salama" na ambao hawajachanjwa sasa ambao hawaja chanjwa wanawaweka kwenye hatari kina nani sasa

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo wanapoonekana wana lao....Wewe uliyechanjwa ndiyo eti unadai nitakuweka kwenye hatari, wakati wewe unadai unakinga tayari...Kwanini usiwaache walioamua kutokujikinga wabebe fharama ya maisha yao? Njia ya mwongo huwa fupi sana!
 
Mkuu,

Huyo Paschal Mayalla is not trustworthy nowadays, do not take his personal opinion and there is no legal binding clause to implicate anybody chosen to refrain from taking the myth therapy
 

Wewe nawe kipindi cha Magufuli si ni mmoja wa wale waliokua wakidai kuwa nchi haiwezi kuendeshwa kwa utashi wa mtu mmoja?

Wewe nawe si ni mmoja wa watu waliokua wakidai uhuru wa vyombo vya habari na haki ya kutoa maoni?

Sasa mbona mnapinga wengine kutoa maoni yanayo kinzana na utashi wa Samia?
 
Naunga mkono hoja hoja, hili mimi pia nililizungumzia...
katika muktadha mbili
1. A Collective Responsibility Clauses

2. Insubordination


P
 
Pascal umesema ukweli,hii ni Vita ya kupambana na uviko-19 hiki kinachotekea Kama tunge kuwa mstari wa mbele vitani halafu wewe unakengeuka, wasingekuvumilia askari wenzio au kiongozi wa kikosi hicho. Demokrasia ina utaratibu wa wengi wape na wachache wasikilizwe. Kama Mbunge alisikilizwa mawazo yake bungeni ,lakini maamuzi yakawanufaisha walio wengi ,Basi Mbunge anapaswa kuheshimu maamuzi ya walio wengi na Kama hakubaliani na msimamo wa walio wengi Basi akae kimya au asirekodi maneno yanayokinzana na uamuzi wa waliowengi na kuanza kasambaza kwenye mitandao ya kijamii.
 
Kwani mbunge ni kiongozi ?
 
Yes, that is naked truth. Limetolewa tamko la rais na amiri jeshi mkuu amelipitisha na amelifanya, halafu kuna taahira mmoja ambaye hajielewi kila jumapili anaongea jambo hilo hilo la kupinga badala ya kutumia muda wake kuhubiri anachotakiwa kuhubiri, yeye chanjo inamhusu nini? Kama hataki asifanye lakini umekuwa wimbo wa taifa wa kila jumapili kanisani kwake. Yaani huo ni zaidi ya ushamba na ujinga. Nashangaa kwanini serikali kwanini hadi sasa haijamkamata na kumfungulia mashtaka huyo mjinga anayejifanya anajua kila kitu? Serikali kamateni huyo anayeua watu kwa maneno yake. Anasema alimuombea Magufuli....Mbona Magufuli hakupona?????
 
Is the


He is a mere hypocrite!. Kama ni hivyo itabidi ccm iondolewe madarakani haraka ili tupate uongozi unaowakilisha wananchi na si kundi la watu. Tanzania haiwezi kuendelea kufanywa misukule mipumbavu isyokuwa na haki ya kkutumia fahamu za watu wake. Shule zote wafunge ili wabaki na miburura ya kuiambia geuka kulia, kushoto nenda mbele, nifute miguu, nibebe n.k.

Mwaka jana rais alisema "kuna kasoro kubwa na nia mbovu nyuma y ahii biashara". Akahamasisha watu kutumia natural available resources kulinda raia. Watu wakashangilia na tukavuka. Leo tunaambiwa tena kuna rais anasema chanjo lazima. Tumfuate nani? Who is a more president kuliko mwingine?

Tuliona rais akisema "miradi ya bagaomoyo na wachina', rais alishauriwa vibaya, leo unapotuambia chanjo, kutofautiana na serikali ni nini sijui, vipi kama itakuwa ni sumu kali halafu baadaye mje mseme "rais alishauriwa vibaya bila hata kuwawajibisha hao washauri, na ikaonekana watu wameshadhurika tayari?

Serikali si Mungu, . Inaweza kufanya makosa ya kimkakati na kimaamuzi kama ilivyoonekana kwenye corona, miradi ya bagamoyo, ubinafsichaji wa majengo ya serikali, mikataba fisadi, teuzi mbali mbali za rais zinazobatilishwa hata kabla ya viapo.

Mnalazimisha watu waseme ndiyo, vipi inapotokea ushauri mbaya, nani anabeba damu za hawa Watanzania?

PASKALI UNAFIKI WAKO HAUKUSAIDII. WAACHE WATANZANIA WATUMIE UHURU, ELILMU NA HAKI YAO KUFANYA UCHAGUZI.


Kwamba msimamo wa Rais ni msimamo wa serikali! Kupinga msimamo wa 'serikali' ni usaliti! Just based on your so called insubordination!

Mpigeni risasi na huyo.
 
Wewe ni jiitu la hovyo kuliko shetani.
 
Naunga mkono hoja kwa tuliofiwa na wapendwa wetu kisa hii delta tunaelewa hali ilivo ngumu na huu ujinga wa gwajima kupotosha watu kuhusu huu ugonjwa akamatwe na atoe ushahidi wa kisayansi Bila hivo apate adhabu Kali. Huyu hafai kazidi kiherehere akatwe tu hizo pende zilizoota kupita kiasi
 

Pity hard feelings!
 


Hizi chanjo hazipingwi kwa kuwa ni chanjo. Kinachopingwa kinapingika kimsingi.

Chanjo huchukua miaka 10 or zaidi kutambua short, mid and long term effects zake. Hizi chanjo hazijapitia uangalizi huo.

Zimetengenezwa under emergence na kiuhalisia zinazo nyingi za hizi chanjo zimeshaonesha aina nyungi za effects kana: damu kuganda.

Ndio maana, mashirika yaliyotengeneza chanjo hizi, kwa kuhofia kushtakiwa, wanalazimisha serikali wanaxo supply kujaza form ya serikali zina nunua kwa their own risk. Ba serikali zote wanalazimisha watu kujaza "consent form"
Hata hayo makampuni yanayo tengeneza hizi chanjo hayajui short, mid na long term effects za hizi chanjo kwakua hazijakua tested enough, hivyo usalama wake ni mashaka.

Sasa wanao ongea waachwe waongee kwakua ni haki yao kimsingi na pia wana hoja za msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…