Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

Kitu kikubwa ni kwamba christians hatutaki kusikia ukweli huu kwamba mou na makanisa ni upendeleo ulio wazi.
Fedha za Kodi ya umma yapaswa kuhudumia wananchi na sio biashara za watu.
Sijaona kitu chochote kikubwa toka kwako.

Kuna swali mwenzako pale juu aliulizwa akakimbia, hebu msaidie wewe kutoa jibu...

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima serikali ijenge hospitali zake kila mahali. Kama eneo tayari lina hospitali bora za kanisa, msikiti, Wahindu, Agha Khan, za watu au makampuni binafsi hakuna haja serikali kujenga hospitali eneo hilo.

Lengo ni raia wapate Huduma bora za Afya kwa ukaribu na bila misongamano. Pia hospitali zote ni za kibiashara, tofauti ni kiasi cha gharama tu ambacho wateja wanalipa.

Halafu makanisa , misikiti, makampuni au watu binafsi wakijiimarisha kwa hospitali na shule zao bora tatizo liko wapi??
 
Usinikumbushe kauli ya Henry Kissinger ya kuwa uKiwa adui wa Marekani ni hatari lakini ukiwa rafiki wa Marekani ni kujitakia kifo!!! Yawezekana kauli ya Henry imetafsiriwa katika mikitaza tofauti Ulimwenguni ikiwemo na hapa nchini.
 
Waambie serikali waondoe ruzuku kwenye hizo hospitali uone kama hazitaendelea tena kwa ubora wa hali ya juu. Ruzuku wanayopewa KCMC au Bugando ni kuwawezesha walalahoi ambao ni raia serikali wapate huduma kwa gharama nafuu, vinginevyo zitakuwa kama Agha Khan na bado hazitakosa wateja.

Sasa kama unafikiri kuliko kutoa ruzuku ni bora serikali wajenge hospitali nyingine kubwa pembeni ya KCMC, Bugando, Ikonda n.k kwa hofu ya makanisa kujiimarisha basi wahimize wafanye hivyo ili moyo na kichwa chako vinavyoweweseka kwa wivu wa udini vitulie.
 
Kitu kikubwa ni kwamba christians hatutaki kusikia ukweli huu kwamba mou na makanisa ni upendeleo ulio wazi.
Fedha za Kodi ya umma yapaswa kuhudumia wananchi na sio biashara za watu.
Hizo unazoziita biashara za watu zinahudumia hao wananchi ambao walitakiwa kuhudumiwa nazo.
 
Kwa nini wewe unataka serikali ijenge Hospitali za kushindana na Hospitali za binafsi wakati kuna maeneo ambayo hayana hata Hospitali au madaktari kabisa kwa kuanzia??
 
Baada ya salah ya leo nitaombea watanzania wasiingie kweny mgogoro wa kdini ,wala wasiwe na matabaka .

Kila mtu na imani yake mambo ya dini ni Binfsi.
 
Ni aibu mpaka leo Waislam wana Chuo kikuu kimoja tu Tanzania nzima. Tena cha kupewa Bure🤣🤣.Wakati wangeweza enda Kigoma ambapo uislam ni karibia 80% ya watu au Zanzibar, Lindi na kufunguwa Matawi ya chuo na kupata hela ya maana. Tatizo kubwa la hawa watoto wa kijakazi ni wivu, Husda na Chuki kwa Baraka na amani walionayo Wakristo! Kubalini kuwa aliewai kawai! Ata mkitoa mapovu yajaze pipa jueni kuwa Mpewa Apokonyeki. Dini yenu inawachanganya sana mpaka amjui nini ukweli nini ushetani: kwingine mnaambiwa kuwa Kitabu (elimu dunia na haram)- Bookharaam-- Kwingine mnaambiwa mtafute elimu ata mpaka uchina!!Ukisoma maandiko yenu Waislam zipo khadithi juu ya Vitabu vyenye elimu batili na Elimu iliyo bora(ya china) ! Why China???Wafuasi wa Uslam wa karne ya 6-7 Walikuwa wanaenda China ki Biashara, huko walijifunza Elimu mbalimbali zikiwemo za kitibabu, Utawala etc. na China waliwapa Kiwanja Ukajengwa Msikiti China mwaka 627. List of mosques in China - Wikipedia.
Kuna kisa kingine hapa, (Mpaka Leo hii- Waislam wameamisha ilipo Kibra mara tatu- Ukisoma historia Kibla ya Msikiti huu aielekei Macca!! Na pia Macca ambayo Mohamed alikuwa anaishi na kuielezea sio hii Macca ya Saud ya Leo-Quraan imebadilishwa (kuwa Edited zaidi ya mara 4) .Next time tukiwa na Muda tutaidadavua yote! Hakuna Dini ya kweli wala ya haki hapa
 

Attachments

  • F8E85B7D-7D4C-4876-B45B-F044840F547E.jpeg
    129.1 KB · Views: 2
  • E925AB95-CC82-4682-88D8-C48602DA311C.jpeg
    154.4 KB · Views: 2
Hospital za Bugando,(catholic)KCMC(lutheran) St. Joseph (Catholic) Peramiho(catholic) kwa miaka zaidi ya 60 zinatoa Matibabu kwa Raia wote wa Tanzania bila ya kujali Dini na ikumbukwe pia ata kabla ya uwepo wa Bima ya Afya- pia kutokana na kuwepo kwa matibabu bure kwa Watoto chini ya miaka 5 pamoja na huduma za clinic kwa mama wajawazito na matibabu bure ya Wazee hii ndo ilipelekea Serikali kuamuwa kiwashika mkono Wakristo kuwapa pesa za kusaidia ili Hospital zao ziweze endelea toa matibabu kwa makundi haya pamoja na wangojwa wa TB,Kisukari,HIV na Ukoma ambao pia tiba zao ni Bure kwa mujibu wa Serikali yetu pendwa ya JMT. Waislam tatizo wanajitoa ufahaam na wanalialia kama watoto wadogo na kudeka juu! Maisha ya raha na amani wanayoyaota kila kukicha ayapo ata huko kwenye nchi zenye 100% islamic Governed Governments, Tena wote wanakimbilia nchi wanazoziita za Makafir UK,USA etc. Kuuelewa Uslam ni ngumu mno kwa kweli
 

Tatizo lipo.

Hospitali siyo huduma kwa wagonjwa tu, bali ni ajira pia. Sasa kama una hospitali ambayo priority ya ajira ni watu wa imani yao hilo ni tatizo!. Inanyima watu wa imani nyingine fursa. Ila kama serikali inajenga hospitali zake, Itakabwa mashati iajiri bila upendeleo wa kiimani.
 
Uliulizwa swali kule juu mpaka sasa unalikimbia tu karibia masaa 24!.

Unachofanya sasa ni kuhangaika tu kutafuta vijisehemu ujiegemeze, kama hospitali ni za makanisa unataka kuwawekea masharti kwenye mali zao?

Kwani makanisa ndio yaliifuata serikali kuiomba iwape nguvu kuziendesha, au ni serikali ndio iliwafuata wenye makanisani waliojenga hospitali zao kuwaomba iwasaidie kutoa huduma kwa watu wake?

Madai yenu kila siku hayana msingi, ni kulalamika hovyo tu bila sababu, ajabu bado mnahangaika na kulilia hospitali zisipewe misaada wakati hamjiulizi maeneo mangapi nchi hii bado hayana huduma? hizo hospitali zikiachwa kupewa hiyo misaada, kisha zikapandisha gharama za matibabu, mtaweza kuzimudu?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kama ulikuwa hujui serikali inaajiri madaktari wake pia katika hizo hospitali za kidini.

Halafu vipi na upande wa Kanisa nao wakianza kudai watu wao wapewe ajira za kuchinja machinjioni kwa sababu machinjio ni mali ya umma na kodi za raia wote ndizo zinatumika kuhudumia.
 

Punguza udini
 
Una hoja ya msingi , ila kuna vipengele siwezi kusema upo sahihi au umekosea sababu sina ufahamu wake kiundani

Mf. DP world sidhani kama kuna mafungamano na waislamu ila MoU inafahamika ndio maana TEC wanauwezo wa kuivimbia serikali
 

Yaani unalinganisha ajira za kuchinja ng'ombe na udaktari, unesi, ulinzi, ufagizi, ufuaji mashuka, upishi, umesenja, ukarani, udobi, na ajira kibao zinazotolewa na hospitali moja?.

Mimi sijawahi kuona tatizo kama wakiristo wanataka kuchinja wachinje tu hakuna shida, Wakiprove kuwa walitamka jina la YEHOVA au ELOHIM wakati wa kuchinja nitakula, maana YEHOVA au ELOHIM inamaanisha Mungu Muumba ambaye kwangu ni huyohuyo ALLAH, ila wakisema walichinja kwa jina la YESU hapo sitakula ka sababu YESU siyo Mungu.
 
Mjinga wewe. Eti serikali inadhamini kanisa , we ni mweupe. Alafu sio mkristo. Yani kifupi wewe huna akili. MoU hukijui unaongeaongea. Iweke hapa tuone. Majinga sana maislam.
Mjinga baba Yako,Hana akili baba Yako.
 
Una hoja ya msingi , ila kuna vipengele siwezi kusema upo sahihi au umekosea sababu sina ufahamu wake kiundani

Mf. DP world sidhani kama kuna mafungamano na waislamu ila MoU inafahamika ndio maana TEC wanauwezo wa kuivimbia serikali

Hapa nimesema dp world Kuna mafungamano na waislam Kwa ku assume. Kama unakumbuka wakati suala lina trend, Muslim community yote ikiunga mkono bila hata kuhoji.
Ukizingatia pia ni waarabu na mkuu wetu wa nchi(final say) ni Muslim unaona Kuna mafungamano fulani baina Yao.
 
Punguza udini
Ukipata muda fukua nyuzi zangu, ukiona Mimi ni Muslim weka hapa ushahidi.
It's not about religionism Bali ni kitu ambacho nimegundua mwenyewe baada ya kutafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…