denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Sijaona kitu chochote kikubwa toka kwako.Kitu kikubwa ni kwamba christians hatutaki kusikia ukweli huu kwamba mou na makanisa ni upendeleo ulio wazi.
Fedha za Kodi ya umma yapaswa kuhudumia wananchi na sio biashara za watu.
Kuna swali mwenzako pale juu aliulizwa akakimbia, hebu msaidie wewe kutoa jibu...
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app