Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Mwanzoni wanawake wa dizaini hii huwa wanafurahisha nafsi, moyo na masikio kwa sauti yake nzuri.

Uchangamfu, tu maneno maneno huo ni upande wa Mungu ila mdomo huo huo akiutune kidogo unaanza kuonja jehannum ya maneno ya karaha kutoka kwake.

Mzee hapo pambana na hali yako, yakikushinda mpandishe cheo awe bi mkubwa.
 
Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..." 😂😂😂 huyu kweli ilikuwa ni lazima umtafutie nyumba ndogo au umpimzishe mpaka nguvu za kiume zitakapokuisha.
 

Akipata mwingine ndio itakuwa kuvuja kwa pakacha Mkuu.
Hilo ndio lengo la mtoa mada kama hujamsoma vizuri
 
ubahili ndiyo unaomsumbua huyu. Hiyo tigopesa anapata vipi fedha kama hakumpa password mwenyewe?

Hayo ya watoto kutoa matusi alitakiwa na yeye awe na msimamo asiruhusu hivyo vitu.
Unaongea kama vile jambo rahisi rahisi tu kambadili tabia mtu mzima.
Hapo hata aweke msimamo vipi hayo matusi ni tabia ipo kwenye ubongo na damu.
AmiIdisha msimamo wata achana tu.
 
Asirudi huyo,akae huko huko
 
Hii ndoa illishajifia.
 
Bado hujawajua wanawake vizuri, kwa andiko hili fupi inaonyesha wewe unatabia zifuatazo

1.Humpi mkeo pesa ya matumizi,mengi unapendaku kufanya wewe kama wewe.

2.Wewe ni mwanaume mbinafsi.

3. Elfu 5 kitu gani kwa mkeo kuchukua,mpe Uhuru wa hizi pesa zako ndogo ndogo.
 
Haya yote haukuona kipindi cha uchumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…