MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Mwanzoni wanawake wa dizaini hii huwa wanafurahisha nafsi, moyo na masikio kwa sauti yake nzuri.Na ukiona mke anadokoa visenti vidogo ujue humpi pesa kwaajili ya matumizi yake binafsi.
Next time nunua Tv mbili moja weka chumbani uwe unapumzika huko bila bugudha. Tv ya sebuleni waachie mke na watoto. Ila mke wako ana mdomo nadhani hicho ndo ulimpendea tangu mwanzo.
Wengine tunatamani kupewa likizo hata ya siku mbili twende kwetu hatupewi .
Uchangamfu, tu maneno maneno huo ni upande wa Mungu ila mdomo huo huo akiutune kidogo unaanza kuonja jehannum ya maneno ya karaha kutoka kwake.
Mzee hapo pambana na hali yako, yakikushinda mpandishe cheo awe bi mkubwa.