Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Hii naikubali kabisa. Kuna sehemu huwa napiga kazi mpaka najishangaa imekuwaje. Pia kuna baadhi naharibu kabisa dakika tu nimemaliza.
 
Imagine...
Na tayari ni Mme na Mke..Ni kipi kilichomfanya akapata Kisirani...

Kama si alikuwa anatafuta sababu rasmi ya tabia zake tu...
 
Dadangu umeharibu sana mm pia nliwahi kuambiwa hivo nna mwaka wa nne tunasex mda wa kutafta watoto tu.
Nje napiga show za kueleweka sana
Iko hivi wanawake mnakosaga mvuto sababu mmeo anakuona ukiwa na dela hujaoga hujapaka mekup.
Ni wanawake wachache sana wanaelewa namna ya kuishi na mme.
Siri kubwa ni kuwahi sana kuamka kabla ya mtu yyt hapo kwako then ufanye majuku yako mapema jamaa bado kalala ukimaliza ingia uoge jipake unukie mida ya saa 12 mtengee supu ama chai akiwa kitandani, nakwambia kabla ya chai utaliwa wewe kwanza ndo baadae chai.
Sasa wanawake hujipamba mnapoenda sokoni na kazini, mkiwa home mnajiachia
 
Basi nami naenda mlimani kukuombea.

Usisahau kuleta sadaka yako ghalani....
Sawa Babu....

Nitakusaidia kufunga kabisa huku....
Sadaka umepata..Naleta na shukrani ya pekee[emoji3]
 
Umeharibu pakubwa sana na hii inaonyesha kuwa Hukufundwa vyema na akina Bibi au Shangazi.

Katika Tendo la Ndoa kwa Mwanaume hutawaliwa zaidi na Saikolojia hivyo ukiwa ni Mwanamke na ukikosea tu jinsi ya Kuzungumza nae jua Umeharibu na Utampoteza.

Ulichotakiwa kukifanya Kwake ni Kumfikishia Ujumbe kwa Njia ya Utani hasa mkiwa Mnafanya Mapenzi Mfano kwa Kumwambia Mume wangu Siku hizi hunipendi kwani unanifanya haraka haraka tofauti za huko nyuma au tumeshakuwa Wengi?

Na wakati unamwambia Kauli hii Kiutani huku unakuwa Unambusu huku na Kule na unacheza nae na ikiwezekana hata Kuusifu Uume wake kuwa Unaupenda hakuna mfano duniani kote.

Kwa kufanya hivi Kwanza kutamfurahisha zaidi Mwanaume na kwakuwa umemwambia katika tonation ( tone ) ya Utani nae pia atajishtukia Kimoyomoyo na Mzuka wake utampanda ghafla na atakufanya ( atakutia ) vyema huku akihakikisha kuwa anakufikisha Kileleni na hatimaye utakuwa Umeshatatua tatizo kwa Mbinu rahisi mno.

Na jitahidi ukiwa unamfikishia Ujumbe hata Sura yako nayo iwe ni ya Kiupendo na iliyojaa Tabasamu jingi na kamwe usionyeshe Sura ya Ukauzu ( Hasira ) Kwake kwani ukimwambia ukiwa Umenuna moja kwa moja kwa Akili za Wanaume wengi atajua kuwa umeshampata Mwanaume anayekutia vizuri zaidi yake hivyo unaweza hata Ukala Kofi la maana au Ngumi ya Dulla Mbabe na ukajikuta ICU huku Mlango wa Mochwari ukikutizama na ukikutamani pia uende huko.
 
In nature binadamu hatupendi kuambiwa ukweli Moja kwa Moja, 60 percent ukisema ukweli tunakasirika.
Kwa ushauri wangu, ulipaswa kuleta mawazo ya kuboresha tendo la ndoa na kuonyesha kwa vitendo ni nini unataka, na wewe kama wewe kuwa romantic zaidi. Kwa SABABU NAAMINI MABADILIKO YANAANZA NA WEWE KWENDA KWA MWINGINE.
Too bad kwa huyo mwanaume hatokaa aisahau hiyo kauli yako.
 
Njoo hogo pm mwaya......kukaa na minyege hata sio sifa......ntakushauri Ka kitu
 

kwa hali hiyo ni ngumu sana
 
Kula ulicho kipika.

Mdomo ukitumika vizuri utakula matunda mazuri.
Na mdomo ukitumika vibaya haya ndio mavuno
 
Na ukome tena[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…