Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Hivi kwanini wanaume wanaofanya dk2 kama kuku na wenye vibamia vywa ukweli huwa wahangaikaji sana??? 😅😅😅
Yaaani hajihurumii aibu zake anataka ulimwengu mzima ujue
 
Pole sana Dada,kwanza tengeneza mazingira rafiki ya kumuomba msamaha wakati huo unaendelea kumuomba Mungu kwa imani yako aiponye ndoa yako.
Mbili ,bado una nafasi kubwa yakumjenga mwenzi wako akakaa sawa tofauti na unavyofikiria kwa sasa.
Tatu sio rahisi mwenzi wako awe na tabiya ya kuchati na wanawake wengine kwa kipindi hicho chote tena nyingine meseji za mapenzi then asiwe na uhusiano wa nje,real not.
Unaweza kuhisi huko nje anafanya kwa dk moja kama unavyodhani na ikawa aibu kwenu ikawa ni wimbo wa beti tofauti na vile unafikiri kwake,nani ajuaye kama wa nje ndio ameteka hisia zake akija kwako hana hisia na wewe?Na hii inaweza kuwa ni sahihi.
Muombe Mungu amrudishe mwenzi wako awe na hofu ya Mungu kama unaamini,tafuta mazingira ongeeni kama wenzi mwambie akwambie kwa uwazi wapi unamkosea,na anapenda uweje kimuonekano nawewe muombe uongee kuhusu nini unapenda kutoka kwake,ongea kwa upendo na hekima.
Mikononi mwako una uwezo wa kuibadilisha hali ya familia yako take a step wisely.
 
Hajakukuta wewe. Kuna wanawake wengine wana karaha kwenye ndoa hata uwepo wake nyumbani unaona ni kama kero. Halafu hapo sasa uwe umepata ''wa pembeni'' anayekujali na kukubembeleza kwa upole.
Sasa si bora kumuacha kuliko kuishi na mtu wa hivo?
 
Tiba ya saikolojia ya mume ni mke wake. Mke akiwa na kauli chafu kwa mume ugeuka sumu uondoa upendo uzalishaji kibamia, na goli dhaifu
Uzi ufungwe.. Halafu wanawake wengi hawalijui hili..! Nilishawahi muuliza mdadakama anajua uhusiano kati ya kulia na maneno yanayosababisha mtu alie..!? ndivyo uhusiano ulivyo kati ya KIMOJA na maneno machafu ya mpigwa kimoja
 
Usishangae baadhi ya Me wakakwambia mwanaume kiasili ameumbiwa wanawake hivyo hiyo ni halali yake kuchati nao hao wote.

Wakasahau kuwa we hupati hitaji la muhimu ndani ya hiyo ndoa.
Umemsadia mwenzi/mtoa mada kwa maneno haya.!?
 
Huyo atakuwa anatumika sana nje akija kwako kachoka!

Yani wee nawe watakuwa wamekuroga vibaya sana!

Yani Mwanaume wako anachat na wanawake wengine wewe hustuki kusema kuwa ni mabibi zake Yani michepuko au ? [emoji2369]
 
Halafu kuna mambo mawili siku hizi yanaweza kutokea;

Mwanaume ama sababu ya kuwa na nguvu chache za kiume akishakuwa na michepuko ndio kwisha kazi Kwa mkewe hajiwezi,

Au

Anarogwa nje na michepuko ili akiwa kwa mke wa ndoa asiweze wala kufurahia tendo!

Au anatumika sana nje akija ndani ameshachoka mbaya.
 
Huyo ni malaya mzeefu acha kucheka na hiyo kima inajifanya imeumizwa na maneno yako ila either kakuchoka ama huko nje mambo yamenoga.
 
Sasa you gonna be disappointed much utakapojua kuwa ana michepuko na amezaa nayo ndipo utaanza kuunga dots kwa kusema kumbe ndio maana kwako alikuwa hajiwezi sababu ya kutumika sana nje?!

God forbid.

Kuna michepuko imejaa uharibifu jamani!

Kwani haiwezekani kupendana kawaida?!
 
Unaonekana u a kauli chafu sana
Na hiki ndicho kilichoua hamu ya mumewe kufanya nae tendo la ndoa. Inaonekana ni mkosoaji mzuri Sana, pengine hata kwenye sex. (Kama alivyofanya)

Ukweli kauli,matendo,usafi,uaminifu,heshima na kujiheshimu kwa mwanamke kunaleta msisimko wa mwanaume kwa mkewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…