Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Hujafanya poa kbs yani juhusudi za mwenzio unazibeza hebu fikiria kama angekwambia hivi "Mke wangu mbona we sio mtamu" ungekua na majibu gn kichwani mwako?
 
Mi sio mtaalamu wa aya mambo, lakini naweza shauri hivi:

Tafuta kama Laki 2 hivi kutokana na kipato chako.

Nenda nae Bagamoyo mwambie kusalimia. Pale B/Moyo pana kaji hotel kanaitwa Firefly. Mkae siku 1 au 2 msiguse simu kabisa.

Hafu mzungumze.

All you need ni kuzungumza na wala msimuite mtu wa tatu hapo kati atatangaza nje bure.

Hao wengine anachat nao tu we ndio the best ndio maana amekuweka ndani.

Oiii. All the best. Ndoa yenu bado changa. Mungu awatangulie.

Tuseme Amen.
 
Hakutakuwa na upendo ila vifo, wivu, chuki, tamaa na usaliti TU. Huko mbeleni giza Totoro🤔
 
Iko hivi mr alikua mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Nikitu kimekua cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Mwanaume kumfurahisha kihisia kimapenzi mwanamke mwingine kwa gharama ya hisia za mkewe hiyo ni cheating.

Kama tu ambavyo mwanamke kuchukua maagizo ya mwanaume mwingine na kuyapindua ya mumewe nayo ni cheating.
 
Nendeni mkamuone daktari
Nendeni mkamuone daktari atawapa muafaka
 
Naona kama uzi wa kimasihara utahusika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…