MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hii ya kupekua simu ya mume kuna mdada ndo ilikuwa zake sa kumbe mmewe alikuwa anapewa ndogo na michepuko na malaya huko basi bwana kuna siku bidada akakuta sms mmewe anaitwa akanyewe. Hii kesi ilienda kumalizwa na baba paroko
Asilimia 99% ya waume kwenye ndoa, ukiingia kwenye simu zao utakuta hicho unachokitafuta......
Mwanamke yeyote mwenye busara anatakiwa ajifunze kukaa mbali na hiyo simu, kuna wanawake ninaitana nao baby kwenye simu na wala sijawahi kugusa kimwili, ni kamchezo fulani hivi hunipa raha.