Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Hii ya kupekua simu ya mume kuna mdada ndo ilikuwa zake sa kumbe mmewe alikuwa anapewa ndogo na michepuko na malaya huko basi bwana kuna siku bidada akakuta sms mmewe anaitwa akanyewe. Hii kesi ilienda kumalizwa na baba paroko

Asilimia 99% ya waume kwenye ndoa, ukiingia kwenye simu zao utakuta hicho unachokitafuta......
Mwanamke yeyote mwenye busara anatakiwa ajifunze kukaa mbali na hiyo simu, kuna wanawake ninaitana nao baby kwenye simu na wala sijawahi kugusa kimwili, ni kamchezo fulani hivi hunipa raha.
 
Kuna mnao mlaumu huyu sister ila mi na mtizamo tofauti. Kuna akat tulipishana na wife kwa jambo kama hili ila haijawai kuwa big deal kiivyo.

Apo naona huyo jamaa hayupo mature, ukiwa na mke wako anakupenda, anakuheshimu na hakuna lolote baya umewai kuliskia kuhusu yeye. Na kuhakikishia unatakiwa kumpenda sana .

Mke wangu akiniambia jambo la ukweli na ninajua nime mkera, ni jukumu langu mimi kumfanya awe sawa na kujitahidi kumuondolea iiyo mentality ila sio mimi ni mkosee ila yeye ajitaidi tena kuniweka mimi sawa. Tupunguze ego kwa wanawake zetu wanao tupenda na kutuheshimisha.
 
Ila kufanya usaliti ni sawa sio?

Nafikiri kadhia kubwa ya mke ni kuona anapunjwa afu nje mtu anakitembeza
Inaudhi

Utadhani mna jeuri ya kuachana kama mnavyoandika hapa
Wewe si unaamini ndoa ndio maisha, ndio maana mnapigwa hadi kufa kisa ndoa, kuna mambo yakitokea ktk mahusiano achana na mwenzako kilamtu afanye maisha yake... Anyways tumetofautiana uelewa
 
Huko nje mwenzio huwenda Huwa ana wapelekea moto wa mjerumani BAO 6 Kwa uchache 4 .. ila kwako anapiga kimoja labda Kwa kuwa haumvutiii
 
Kama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.

Asilimia kubwa wanaoamini wana upungufu wa nguvu za kiume kiuhalisia ni kukosa kujiamini tu. Hata wanaume wengi tukijichunguza kuna sehemu tunapiga show mpaka wenyewe tunajishangaa na kwingine ukienda unaweza nyonywa hadi ubongo na ngoma isiinuke. Hii yote huchangiwa na maandalizi ya kisaikoloji baina ya wenza na mapokezi kabla ya tendo.

Unakuta li mwanamke toka upo kazini anafululiza msg za malalamiko tu. Ukirudi nyumbani limekaa mbele ya tv hata habari na wewe hana, kazi kujipiga piga kichwani sababu ya weaving chafu. Mkiingia chumbani ukaomba mzigo unasusiwa lenyewe hata habari halina, halafu unatarajia mtu achukue zaidi ya dakika 1.
Imagine
 
Umeonaeee, mentality za baadhi ya wanaume wa kibongo huwa zinaona wanawake ndo wana makosa yaan mwanaume anafanya ushenzi mwanamke yeye ndo anazodolewa, syo fair kbisa
Na anazodolewa kweli utasikia mwanamke mpumbafu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ndiyo sala yao, wakati tatizo limeanzia kwake,!
 
Ila kufanya usaliti ni sawa sio?

Nafikiri kadhia kubwa ya mke ni kuona anapunjwa afu nje mtu anakitembeza
Inaudhi

Utadhani mna jeuri ya kuachana kama mnavyoandika hapa
Na hata akiambiwa kwa upole unaweza kuta anakuwa mkali na maneno ya kashfa, ila ukweli unauma
 
Wapendanao wakipitia changamoto za bed au maisha yao binafsi,ukawaona mmoja wao analalamika au wote, wewe Nunua KEKI imba zako Happy Birthday Hata kama sio siku yako ya kuzaliwa Kula shushia na Kitu smooth kausha kimya.
 
Iko hivi wanawake wengi wao akishaolewa tu anarelax sana na kupunguza care na hasa akishazaa ndo kabisa. mume akitaka haki yake anapigwa kalenda kwa visingizio vya hapa na pale. mara leo sipo kwenye mood mara hivi mara vile. sasa hali hii ikiendelea inafika wkt akili ya mwanaume inaona HUYU SIO WANGU TENA!

Ikishafikia hapo ujue huyo mume umeshampoteza japo anaweza asikuambie! Lakini hisia zake unakuwa umezizimisha. Hapo ndo unakuta watu wanatoka nyumba moja kumbe mwingine alilala sebuleni mwingine chumbani au hata km wanashea kitanda kimoja hakuna anaemsogelea mwenzake. wanawake mnaua hizi ndoa zenu wenyewe!
Acha visingizio sijui wanawake wakiolewa wanakuaje! Timiza wajibu wako wanawake huwa wanazibeba sana ndoa ni basi tu kuficha aibu.
 
Kuna mwingine anakuwa na tatizo yeye kama yeye, mke wake anakuwa vzuri tu lakin mwanaune anazingua. Sema wanawake kwenye ndoa ndo wanaonekanaga wana hatia muda wote
Yaani upo sawa kabisa, kuna mmoja mme alifariki wakaanza kumzodoa sijui kafanyaje, ikabidi atoe ya sirini huyu tuna miaka 2 tunaishi kama kaka na dada au Baba na mwanaye ,watu wakabaki vinywa wazi!
 
Hakuna kitu kibaya km kumwambia mwanaume hakuridhishi hats km ni mpenzwako unamuondolea hisia kabisa
Ungetumia busara tu kumuelekeza unachohitaji ufanyiwe kunanjia nyingi za kufanya hivo
Kama ana kiburi hata uongee kwa upole vipi, anatumia nguvu kusolve hiyo mambo ili unyamaze [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] embu ninyamaze
 
Ulikosea saana kumtamkia maneno hayo, hii pia inaonesha hata mwanaume wako kushindwa kuperform inategemea nawewe mwenyewe the way unamtreat, pia inaonekan ur not active kwenye sex pia inaoneakana wewe ni mtu mwenye majibu saan.
Vitu hivyo vinamfanya mmeo asione umuhimu wa kukufanya ulidhike wala kujituma kwkako. Lkin pia yawezekan ulishawah kumcheat na akatambua hilo. Ila kama vyote hivyo hujawah kufanya basi mmeo anashida nyinyine tu [emoji120]
Ila kuchart na vichenchede ndiyo bora tena mbele ya mkewe mpaka anamkamata? Mpeni ushauri huyo shababy wa michepuko kuliko kwa mkewe
 
Huko nje mwenzio huwenda Huwa ana wapelekea moto wa mjerumani BAO 6 Kwa uchache 4 .. ila kwako anapiga kimoja labda Kwa kuwa haumvutiii
[emoji32][emoji27][emoji33][emoji43][emoji18][emoji43][emoji47][emoji25] kwahiyo anasura na babu mpaka anamtisha mmewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda nae Bagamoyo mwambie kusalimia. Pale B/Moyo pana kaji hotel kanaitwa Firefly. Mkae siku 1 au 2 msiguse simu kabisa.

Habari Mad Max.
Samahani, nishauri kitu.
Nafikiria kwenda a single day vacation Bagamoyo na girlfriend wangu.

Nimeona wewe mtu wa pili unaitaja hii hotel. Ushawahi kufika? Ni pazuri eeeh

Niandae bajeti kiasi gani roughly kwa vacation ya siku moja. Yaani tunaenda Leo, tuna spend our good time. Then tunarudi kesho yake mapema.

NB:
Wote hatunywi pombe. Ni vyakula tu na soft drinks. Nina private car.

Sababu ya vacation:
Manzi amemaliza field. Wakati anajiandaa kurudi chuo October nataka nimtoe out moja ambayo ata refresh mind yake.
 
Back
Top Bottom