Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Ni aafadhali ya hao waliolewa vodka kuliko kupeleka shoga frontlineUnaleta propaganda wewe; kama Urusi ingekuwa na majemedari wote hao si kila siku wangekuwa wanaonyeshwa kwenye TV? Subir mvua za Masika hazijaanza vijana wa Ukraine wakimaliza mafunzo ya kijeshi ndipo utawatambua. Siyo unapeleka askari vitani akiwa amelewa Vodka.
lakin mbona tunasubir muda mchache tu utasikia Ukraine kaachia bhakmut coz kuna taarifa nimesoma kuwa bhakmut inashikiliwa na urusi kwa asilimia 65 so far unaonekana ni mfuasi wa west katika ushabiki wako huu unadhani Urusi itaanguka sio rahis dingi ile ni ulaya mzee ulaya ukiharibiwa itachukia muda kuijenga soon utasikia jumuiya ya kimataifa wanataka wakae chin wayaongee AF MK254 si upo ule msemo kwamba ndugu wakigombana shika jembe ukalime Fanya ya msingi ya maisha yako kukaa kusubiri uone nani ataangushwa hakuna mchango ktk maisha yako serikali ya Tz iwakumbuke vijana ajira hamna wanashinda mtandaoni kuzuga kuja kuandika biased articlesKwa Urusi mliyokua mnaisifia tulitegemea itafumua Ukraine kwa wiki, leo hii Urusi imeishiwa na imeshindwa hata kufumua Bakhmut...kamji kadogo tu.
Hebu ona sasa Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokua inazingua yaachia Finland
mleta maada hana tofauti kubwa na MTU yule anaeona kibanzi ktk jicho la mwengine na kusahau boliti ktk jicho lake usipende kukosoa kosoa ni ujinga usipende kuona shida sana za jirani mpaka inafikia mahali unasahau shida zako unaongea sana maswala ya urusi as if ww ni mrusi warusi wameshikana kutetea malengo yao sisi waafrika tulishindwa hata kukemea uvamiz wa Libya yapo matatizo mengi yanayotukabiri ukosefu wa ajira utegemezi wa kiuchumi na tecknolojia je hayo huyaoni au hayana tija napenda taarifa zako Ila malengo ya taarifa zako yananipa wasiwasi kwa hivi sasa nimewadharau sana bbc ,aljazeera,CNN na DW koz taarifa zao ni za upande mmoja ww unajitia kuweka pamba ktk masikio yajayo si mazuri gala wewe mrusi anajiandaa kwa battle kubwa zaidi wamemdanganya mchekeshaji wa urusi watumie Ukraine kama battle field ameingia ktk mtego wao hawa watu hawa sasa wapo na ajenda ya feminism na ushoga hatujui n nn wanachokitafuta au wewe ni mfuasi wa ushoga dingi maana huoni kasoro kwa Sera za natoSupapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo.
"We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby.
He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working on arms-related sales and barter deals between the two countries between late 2022 and the early part of this year.
"With the support of Russian officials, Mkrtychev has been attempting to broker a secret arms agreement between Russia and North Korea," he said.
Under discussion was for North Korea to ship "over two dozen" kinds of weapons and munitions to Russia, according to the US Treasury, which placed Mkrtychev on its sanctions blacklist.
In exchange, the Treasury said, Pyongyang would obtain cash, commercial aircraft, commodities and raw materials.
Kirby said Washington understands that Russia seeks to send a delegation to North Korea and is offering Pyongyang food in exchange for munitions.
He did not say if any deals had been completed, or detail the specific weapons involved.
sorry Leo sijaingia mishe so nimeona nikusengenye kidogoSupapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo.
"We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby.
He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working on arms-related sales and barter deals between the two countries between late 2022 and the early part of this year.
"With the support of Russian officials, Mkrtychev has been attempting to broker a secret arms agreement between Russia and North Korea," he said.
Under discussion was for North Korea to ship "over two dozen" kinds of weapons and munitions to Russia, according to the US Treasury, which placed Mkrtychev on its sanctions blacklist.
In exchange, the Treasury said, Pyongyang would obtain cash, commercial aircraft, commodities and raw materials.
Kirby said Washington understands that Russia seeks to send a delegation to North Korea and is offering Pyongyang food in exchange for munitions.
He did not say if any deals had been completed, or detail the specific weapons involved.
Ushabiki bwanaItie mguu mara ngapi? Vikosi maalumu vya NATO vipo hapo ukrane kitambo sana vinapukutishwa kila siku
NATO wameshatumia pesa nyingi sana ktk hii vita mpaka nchi zao sasahivi zina matatizo ya kiuchumi lakini kwenye mapambano hapo Ukraine wanazidi kichapika kila kikicha. RUSSIA NI MNYAMA DUBU NI HATARI KULIKO HATARI YENYEWE
Yes baba PUTIN ANATUPA RAHA SANA. Unataka tufanyaje??Ushabiki bwana
Itie mguu mara ngapi? Vikosi maalumu vya NATO vipo hapo ukrane kitambo sana vinapukutishwa kila siku
NATO wameshatumia pesa nyingi sana ktk hii vita mpaka nchi zao sasahivi zina matatizo ya kiuchumi lakini kwenye mapambano hapo Ukraine wanazidi kichapika kila kikicha. RUSSIA NI MNYAMA DUBU NI HATARI KULIKO HATARI YENYEWE
lakin mbona tunasubir muda mchache tu utasikia Ukraine kaachia bhakmut coz kuna taarifa nimesoma kuwa bhakmut inashikiliwa na urusi kwa asilimia 65 so far unaonekana ni mfuasi wa west katika ushabiki wako huu unadhani Urusi itaanguka sio rahis dingi ile ni ulaya mzee ulaya ukiharibiwa itachukia muda kuijenga soon utasikia jumuiya ya kimataifa wanataka wakae chin wayaongee AF MK254 si upo ule msemo kwamba ndugu wakigombana shika jembe ukalime Fanya ya msingi ya maisha yako kukaa kusubiri uone nani ataangushwa hakuna mchango ktk maisha yako serikali ya Tz iwakumbuke vijana ajira hamna wanashinda mtandaoni kuzuga kuja kuandika biased articles
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
mleta maada hana tofauti kubwa na MTU yule anaeona kibanzi ktk jicho la mwengine na kusahau boliti ktk jicho lake usipende kukosoa kosoa ni ujinga usipende kuona shida sana za jirani mpaka inafikia mahali unasahau shida zako unaongea sana maswala ya urusi as if ww ni mrusi warusi wameshikana kutetea malengo yao sisi waafrika tulishindwa hata kukemea uvamiz wa Libya yapo matatizo mengi yanayotukabiri ukosefu wa ajira utegemezi wa kiuchumi na tecknolojia je hayo huyaoni au hayana tija napenda taarifa zako Ila malengo ya taarifa zako yananipa wasiwasi kwa hivi sasa nimewadharau sana bbc ,aljazeera,CNN na DW koz taarifa zao ni za upande mmoja ww unajitia kuweka pamba ktk masikio yajayo si mazuri gala wewe mrusi anajiandaa kwa battle kubwa zaidi wamemdanganya mchekeshaji wa urusi watumie Ukraine kama battle field ameingia ktk mtego wao hawa watu hawa sasa wapo na ajenda ya feminism na ushoga hatujui n nn wanachokitafuta au wewe ni mfuasi wa ushoga dingi maana huoni kasoro kwa Sera za nato
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Hujasikia kilicho wakuta kwenye handaki hukoHawa Warusi wa bonyokwa wanachangia mada kama wanaimba taarabu yani mijitu ya hovyo sana ndo 2001 walikuwa wanasema Osama anapotea kama shetani[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wanasema Russia inapigana na nchi56 na Putini anasema yeyeto atakae jihusisha kwenye operation yake hapo Ukraine atamfuta upesi sana sasa sielewi
Hapo kwa Osama marekani walifanya usanii sana, yahani kwa masifa yote yale walishindwa kutoonyeha ata kapicha kamojaHawa Warusi wa bonyokwa wanachangia mada kama wanaimba taarabu yani mijitu ya hovyo sana ndo 2001 walikuwa wanasema Osama anapotea kama shetani[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wanasema Russia inapigana na nchi56 na Putini anasema yeyeto atakae jihusisha kwenye operation yake hapo Ukraine atamfuta upesi sana sasa sielewi
Akaamini pia akichimba ule mkwara basi mataifa ya NATO yatasitisha kuisaidia Ukraine.Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli. Walichoksea tena kidogo tu ni kudhani kuwa aatashinda mashambuliz yale kwani waliamini walikuwa na vifaru vingi pamoja na jeshi kubwa kuliko Ukraine, lakini jeshi la jamaa likafeywaka na vifaru vikateketezwa hovyo hovyo.
Halafu warusi ni washenzi kweli; mwenzao akiumizwa wanammalizia na kumwacha huko huko porini, hawana ile motto ya kijeshi kuwa "No one left behind."
Wanasema eti alikuwa akipigwa picha inatoka giza tuπππππππHapo kwa Osama marekani walifanya usanii sana, yahani kwa masifa yote yale walishindwa kutoonyeha ata kapicha kamoja
Una matatizo ya akili kama unajiaminisha kuwa hakuna mashoga kwenye jeshi la urusi.Ni aafadhali ya hao waliolewa vodka kuliko kupeleka shoga frontline
Urusi walikuwa wakitembea jina la Soviet Union tu kudhani kuwa wanaogopwa kama ilivyokuwa Soviet Union ya enzi hizo. Hata walipoanza mazungumzo ya amani huko Belarus na Uturuki, Lavrov alikuwa akiingia mkutanoni kwa majigambo akidai kuwa lazima Ukraine i-surrender kwanza ndipo kuwe na amani ama sivyo hakutakuwa na Ukraine itakayobaki. Majuzi nimesikia kwenye mjadala huko India akiwa analalamika kuwa eti Ukraine ndiyo ilianzisha vita hiyo, na hapo Urusi inajitetea tu.Akaamini pia akichimba ule mkwara basi mataifa ya NATO yatasitisha kuisaidia Ukraine.
Huyo punguani Msamehe.Walisema pia Iraq anamiliki silaha za maangamizi ikawa kweli?.