Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

Inategemea, ukiwa supapawa wa kweli vita unapigana huku wanajeshi wako wakila burger na pizza....
Hebu tupe vita za superpower alizopigana peke yake akiwa anakula pizza na burger
 
Tupatie ushahidi wa unaothibitisha kwamba Pitin alipania kumuondoa madatakani Zelensky - mnaendeleza propaganda zenu eto Putin alitaka kusimika Serikali ya Kibaraka wake huko Kiev - tukisema leta ushahidi huna, unayo yasema umeyasikia kwenye MSM basi.
 
Baada ya hivi Vita sidhani kama Putin atabaki na ushawishi aliokuwa nao kabla.....hii Vita imemdhalilisha kabisa.
 
Mtetezi mkuu wa Putin!

Haya na wewe leta ushahidi kwamba urusi ilivamiwa NATO kupitia Ukraine kwa hiyo ikalazimika kujitetea
 

Shehena isikuumize kichwa, ila napenda sana namna wazalendo wa Ukraine wamezitumia kutembeza kichapo kwa supapawa mtume wenu Putin. Aisei kwa kiherehere mlichokua nacho nilihani Ukraine itafutika kwa wiki moja, leo mnalialia kuhusu shehena....hehehe
 
Hebu tupe vita za superpower alizopigana peke yake akiwa anakula pizza na burger

Supapawa hajakumbana na changamoto ya kushindwa kufumua kainchi jirani hapo kama ambavyo mutme wenu ameshindwa na Ukraine.
 
Shehena isikuumize kichwa, ila napenda sana namna wazalendo wa Ukraine wamezitumia kutembeza kichapo kwa supapawa mtume wenu Putin. Aisei kwa kiherehere mlichokua nacho nilihani Ukraine itafutika kwa wiki moja, leo mnalialia kuhusu shehena....hehehe
Sasa naona umerudi kwenye mstari. Endelea Sasa na Mjadala wako. Asubuhi njema.
 
Mpaka Wa Finland Wote umtegewa mabomu ya Nuclear tena usalama imeimarishwa just incase finland ndio itaanza kuchomwa moto yote..Yaani Hawa NATO WOOTE wameungana wakimuogopa Mrusi na Mchina tu...hakuna watu waoga kama hawa...

Hehehe huwa mnachekesha sana, yaani vitu ambavyo huwa mnaaminishana huko na kufarijiana....
 
Russia ni jeshi lisilo na weledi, lina nidhamu kidogo na morali ya chini sana kwa sababu ya Rushwa, nepotism na siasa kutawala zaidi hadi frontlines.
 
Serikali ya Putini inawafanyia mambo mabaya sana baadhi ya jamii ambao ni raia wa Russia, inaokoteza vijana kwa sababu ya njaa zao tu na kwenda kuwafanya cannon fodder huko Ukraine.
 
Enzi za vita vya pili vya dunia upande wa allies ambako USSR(sio Russia) ilikuwepo ulipewa msaada wa kijeshi na Marekani, vinginevyo uwanja ulikuwa umeshainamia kwao.
 
Nilitegemea USA aingie Moja kwa Moja UKRAINE nakumtwanga mvamizi akimbie kurudia kwake URUSI. Nasio kutuma askari wakajifiche kwenye mashimo huko UKRAINE.

Aingie kufanya nini wakati dogo Zele anatosha kumpapasa makalio Putin.
Au unadhani vita ni kama mchezo wa mieleka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…