Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza.
Alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada
Mke ni msomi mwenye degree, mwajiriwa wa serikalini, corporate lady
Ni corporate lady pia ni feminist hawa wanawake wanaamini sana mambo ya haki sawa ila kupitiliza, yupo busy na corporate life, bado anapenda mambo ya uhuru, ni those ladies ambao ndoa ni status tu lakini kuiwajibikia ni mtiti.
Sasa mwamba ni mtu wa kanda ya ziwa huko, watoto wawili bado aliona wachache sana,
Alitafuta kibinti chenye early 20s za mapema, kafyatua kopi zake nne na mpango wake bado moja kufunga hesabu.
Mchepuko unahudumiwa, watoto wote wanasoma shule nzuri na wanapata mahitaji.